Home
Unlabelled
kariakoo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wamatumbi bwana kwa kujitengenezea maneno! Kwiii!
ReplyDeletekumbe mr. michuzi nawe ni mmatumbi kaa mie, sikujua kaka !
ReplyDeleteNaikumbuka hiyo Karikaoo ya 70's baada ya ujenzi na usanifu wa Bw. Beda Amuli. Mambo yamebadilika sana. Ndiyo kukua kwa jiji huko.
ReplyDeleteWow, honestly, I did not know that. Thanks, That is soo funny
ReplyDeleteI've loved to know the protoform of the word 'Kariakoo'
ReplyDeleteInasikitisha sana kuona kwamba serikali yetu imeshindwa kutunza mandhari nzuri kama hiyo ya soko la Kariakoo! Wazungu kwao wanaweza, sisi Waafrika tunashidwahe jamani>>>>>>>>>>?????????? Wazungu sio malaika, ila tu wanajali vizazi vijavyo! Sio kama sisi waafrika na viongozi wetu ambao wanaangalia uchaguzi tu!
ReplyDeleteShame on us!
Picha ya juu, Dar na population yake ya sasa milioni nne na upuuzi, na ya chini Dar na population yake ya 200,000 miaka hiyo kukiwa na joto kama la hivi sasa unatoa tandiko unalala nje mpaka asubuhi bila wasi wasi wowote, sasa thubutu ulale nje kama hawajakuchinja. Sharti uwe na kiyoyozi au fan.
ReplyDeleteMimi nina ombi kwako michuzi, tupostie picha za Dar ya Zamani. Maeneo mashuhuri ya sasa jinsi yalivyokuwa 70's au 80's. hii ya K/koo iwe ni mwanzo wa picha za minajili hiyo.
ReplyDeletehuwa zinastaajabisha sana picha za Dar ya siku nyingi.