una habari kasongo mpinda clayton ana bendi yake 'super tanza' inayosumbua sana jiji la dar kwa vibao vya bakulutu. huyo hapo kushoto akikuimbia 'angelou' akiwa na issa nundu leo njenje plaza zamani gogo hotel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. wote ambao mna nyimbo 'zilizopendwa' tengenezeni DVD na VIDEO. Maana mzee mzima Tabu Ley Rechereau ameonyesha kuwa hata wazee wazima wa zamani bado mna soko mkitoa zenu za zamani katika mikanda ya VIDEO na DVD, Hivyo Issa Nundu, Kasongo Mpinda, Maalim Ngurumo toeni vitu vyenu vikali katika DVD na VIDEO na hata YOUTUBE. Si juzi tu tumemwona bwana mdogo Vumbi Dekule katika YOUTUBE, Vumbi na wewe toa DVD na VIDEO za zilizopendwa.

    ReplyDelete
  2. Michuzi hivi huyu Pablo Machine ni mbongo au mzaire?Na kama ni mbongo mbona nyimbo zake zote ni za kilingala?Kuuliza si ujinga

    ReplyDelete
  3. Bw Michuzi hizi bao tatu tatu mnazopigwa kila mnapokutana na ASERNAL zitakwisha lini?

    ReplyDelete
  4. Hivi Michuzi kumbe mshabiki wa Liverpool? Pole kaka na kesho tena tunawabamiza kaa tayari. bao tatu nyingine zaja

    ReplyDelete
  5. I hope michudhi u'll never walk alone,ngoma hiyo ya emirates huiwezi tusubiri hiyo tuesday.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...