Greetings Tanzanian Family,


Rebekah Aremo, daughter of Otieno and Sigowide Aremo and our extended Kenyan family, sent me the following mesage, and asked me to pass it on to our community.


She was accepted to the University of International Business and Education in Beijing China, where she will be attending school for one year abroad. She is able to pay for tuition, room & board, and travel, but she is still in need of money for additional expenses, which include food, toiletries, clothing, transportation (public and for expeditions), books and vaccinations.


I'm sure Rebekah and her family would be greatful for any financial assistance that we can give for her exciting journey. The Aremo family is hosting a fundraiser/celebration at Club Sierra this Sunday.


It's late notice, but she'd appreciate all those who can attend.


COME AND CELEBRATE REBEKAH AREMO'S JOURNEY ABROAD


WHEN: Sunday, January 7, 2007

WHERE: Sierra Club International 19325 Plymoth Rd.

Detroit, MI (313) 838-3833

TIME: 5 p.m. Until 7 p.m.

Accepting all donations in support of Rebekah's journey abroad.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. how much do y'all need? and how soon do u really need it?

    ReplyDelete
  2. sasa bwana michuzi nadhani inabidi uwe makini na mambo unayoweka humu. Kwanza hawa watu unawajua? Pili inawezakanaje mtu atoke Marekani aende kusoma diploma China halafu hakose hela? Au hiyo shule ya China anaenda kuifanyia kazi wapi? Kama bongo ni afadhali hata aende Bulgaria. Hata wachina wenyewe Degree zao hazithaminiki hivyo. Hii ni scam. Na watu wengi wanaliwa kwa njia hii. Ninauhakika nikipiga hii simu nitaongea na mwenye simu, lakini maksudi yao ni kuhakikisha unawapa credit card namba yako au unawatumia cash katika hiyo adress. Hii ilishawahi kounyeshwa na NBC-DATELINE. Sasa bwana kama unaweka kila kitu humu itaonekana unashilikiana na hawa watu.

    ReplyDelete
  3. Haya mambo ya wajaluoa na wakenya ya kufanyiana maharambee yasio na kichwa wala miguu, atapangaje safari ya kwenda kusoma ulaya halafu watu wengine wamchange eti toiletries! aendee tu na ajitayarishe kuosha vyoo na kuwatawaza wazee

    ReplyDelete
  4. Michuzi huyu mbunge mbona mzuri sana?Ni wa wapi?Mama lizuri hili linatufaa sisi vijana Shally Raymond

    ReplyDelete
  5. Asha-Rose Migiro bosi UN
    Ateuliwa Naibu Katibu Mkuu
    Na Mwandishi Wetu
    KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amemteua Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Dk. Asha-Rose Migiro (50), kuwa Naibu Katibu Mkuu wa umoja huo.
    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais, Maura Mwingira, uteuzi wa Dk. Asha-Rose ulifanywa na kutangazwa jana katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York, Marekani.
    Dk. Asha-Rose anachukua nafasi ya Mark Malloch Brown wa Uingereza aliyekaa katika wadhifa huo tangu Aprili, mwaka jana. Kabla ya Brown, nafasi hiyo ilikuwa ikishikwa na mwana mama Louise Frechette wa Canada.
    Kutokana na kuteuliwa huko, Rais Jakaya Kikwete, alisema hiyo ni heshima kwa Tanzania na Afrika kwa jumla kwa sababu ni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo tangu kuanzishwa kwa umoja huo mwaka 1945.
    Rais Kikwete alimsifu Dk. Asha-Rose kwa kusema anajua ameteuliwa kwa sababu ana uwezo wa kushika wadhifa huo na kutekeleza dhamana aliyopewa.
    Kufuatia kuteuliwa katika wadhifa huo mpya, nafasi ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa aliyokuwa akiishikilia, sasa inabaki wazi.
    Uteuzi huo unaweka historia mpya kwa Tanzania na nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini katika Umoja wa Mataifa kwa kutoa mtu wa kushika wadhifa huo.
    Kabla ya uteuzi huo, Dk Asha pia alikuwa ameweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa waziri mwenye dhamana ya mambo ya nje nchini tangu kupatikana kwa uhuru mwaka 1961.
    Dk. Asha-Rose Migoro alizaliwa mwaka 1956 na kupata elimu ya msingi Mnazi Mmoja, Dar es Salaam kuanzia mwaka 1963 hadi 1966 na baadaye kuendelea na elimu hiyo katika shule ya Korogwe kati ya mwaka 1967 hadi mwaka 1969.
    Baada ya hapo aliendelea na masomo ya sekondari katika shule ya Weruweru mkoani Kilimanjaro mwaka 1970 na kuhitimu mwaka 1973. mwaka uliofuata alijiunga na shule ya sekondari ya Korogwe kwa masomo ya kidato cha tano na cha sita ambapo alihitimu mwaka 1975.
    Mwaka 1977, alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa masomo ya shahada ya kwanza ya sheria ambayo alitunukiwa miaka mitatu baadaye.
    Alijiunga na chuo hicho hicho mwaka 1982 kwa shahada ya pili ya sheria na kuhitimu mwaka 1984. Mwaka 1988, alihitimu shahada ya uzamivu (Ph.D) katika sheria kwenye Chuo Kikuu cha Konstanz nchini Ujerumani.
    Kwa upande wa ajira, aliajiriwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akiwa mkufunzi msaidizi mwaka 1981 na baadaye kupanda katika ngazi za mhadhiri msaidizi, mhadhiri hadi mhadhiri mwandamizi, cheo alichokuwa nacho mpaka mwaka 2000 alipoingia kwenye siasa.
    Katika mwaka huo, aliamua kuingia kwenye siasa na kugombea ubunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa taasisi za elimu ya juu.
    Baada ya kumalizika kwa uchaguzi, aliteuliwa na Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa kuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, nafasi aliyoishika hadi mwaka 2005.
    Januari, mwaka huu, aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa hadi kuteuliwa katika wadhifa wake mpya kwenye Umoja wa Mataifa.
    Vile vile, Dk. Asha-Rose kisiasa ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na Katibu wa Idara ya Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa ya NEC. Kwa nafasi hiyo ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.

    JK kuongoza mazishi ya Akukweti kesho

    ReplyDelete
  6. Michuzi kw wabongo hilo haliwezekani!mbongo yupo radhi akuchangie harusi milioni moja lakini siyo elimu hilo haliwezekani kwa watanzania.Nimesoma mchango wa anony mmoja hapo juu anamponda kwamba utaandaje safari huna hela ya kulipia nadhani huo mchangiaji hajasoma vizuri hapo juu huyo dada an baadhi ya mahitaji lakini kuna vitu vimepungua kwa hiyo anaomba wenye mapenzi na elimu wamchangie ,hii ni safi sanandiyo sababu wenzetu wakenya wapo mbele kielimu kwa sababu wanasaidiana kwa hilo .Kwetu sisi watanzania ujuaji mwingi kazi kulaumu serikali haifanyi hiki wakati sisi wenyewe hatuonyeshi hali ya kubadilika.TUACHE KUCHANGIA HARUSI TUCHANGIE ELIMU KWANI NDIYO MKOMBOZI!!!!NAOMBA KUTOA HOJA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...