huyu ndiye masoud kipanya laivu - nafurahi kutangaza kwamba huyu katunisti ameamua kuungana nami katika kutia mahanjumati kwenye hii blogu yenu kwa kuchangia katuni zake mara kwa mara. hii ni patigazeti yake... stei tyuundi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Kipanya Karibu sana, tangu nimeondoka home nimekuwa nazimisi mnooo katuni zako.Wengine tulikuwa kabla ya kununua gazeti la Majira kwanza tunaangalia ndani kipanya ametoka vipi leo.Lete vitu tunavisubili.

    ReplyDelete
  2. Basi tu ni kwa sababu uko bongo lakini wewe Bw Kipanya unahadhi ya cartoonist wa kimataifa. Huwa unaweza kuwakilisha ujumbe mzito kwa maneno machache sana. Kaza buti. Naungana na anony hapo juu, tumemiss cartoon zako, nalikumbuka sana pia gazeti sanifu (RIP)

    ReplyDelete
  3. safi sana Kipanya,tunamisi sana hizo katuni aisee hiyo ya lowasa imenimaliza mbavu kabisa haa haa

    ReplyDelete
  4. Kweli tumekumiss sana,Lakini umekwenda kwenye wrong blog manake michuzi anaficha sana ukweli kwakuwa ni kada wa ccm bora uanzishe blog yako utapata watu wengi sana.

    ReplyDelete
  5. kipanya pole na kazi mzee, naomba nikupe saruti kwa hicho kipaji chako cha pekee. u have just left me in stitches!!!!!!

    ReplyDelete
  6. PANYA umekaribishwa jikoni kwa PAKA, teh teh teh... HUFURUKUTI TEEENAAAA!!!

    ReplyDelete
  7. Miaka ya mwisho ya Mkapa, Kipanya aliacha kuandika katuni kwasababu anasema "alitembelewa" na "kufikishiwa ujumbe". Naona uungwana wa JK wa kuvumilia dhihaka na matusi umefungua ukurasa mpya kwenye career ya Kipanya. Endelea kukamua baba kipanya.

    ReplyDelete
  8. Kipanya kumbe yanki hivi, nilidhani ni mtu mzima sasa, maana katuni zake nimeziona tangu zamani sana. Keep up bro!

    ReplyDelete
  9. Hamna Kitu.... Kuchonga tu!!

    ReplyDelete
  10. kipanya kumbe damu changa ?? du nilidhani ulikuwa na miaka 80 juu ya uzito wa kazi ulokuwa ukifanya ni muda tangu nitoke bongo . here we go again michuzi umecheza kaka juu nyie ni magwiji keep it up guys.

    ReplyDelete
  11. KIPANYA,Naomba nichoree yule muhindi anavyoiba zile Bilioni 12,$12milions.

    ReplyDelete
  12. KARIBU KIPANYA ILA INABIDI UWE NA ROHO NGUMU KWELI KWENYE HII BLOG.MWAMBIE MICHUZI AWE ANAKUPA BANGI ZAKE SIKU MOJA MOJA.MAANA UNAWEZA KUTA MTU KAKUUNGANISHA WEWE NA FAMILIA YAKO HALAFU KITU YENYEWE NI TRUE.
    WELIKAM KIRAT.

    ReplyDelete
  13. Karibu Kipanya!

    ReplyDelete
  14. KIPANYA UTAWEZA ?? WIFE,NERGIS NA BLOG KWA WAKATI MMOJA?

    ReplyDelete
  15. michuzi,
    tafadhali tuwekee picha nzuri ya kipanya i.e masoud, kwani hii uliyoweka ina giza giza hivyo kufanya sura yake isionekane vizuri zaidi. wengine ni mashabiki wake wakubwa na tunazifahamu vizuri kazi zake, ila hatuifahamu sura yake kwa karibu.all in all, nakupongeza sana masoud kwa kazi zako nzuri....kip it up.

    ReplyDelete
  16. mkewe si NERGIS ANAITWA SALMA

    ReplyDelete
  17. KIPANYA IS SO CUTE. ARE YOU STILL SNGLE? IF SO CALL ME....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...