Home
Unlabelled
kipanya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kipanya Karibu sana, tangu nimeondoka home nimekuwa nazimisi mnooo katuni zako.Wengine tulikuwa kabla ya kununua gazeti la Majira kwanza tunaangalia ndani kipanya ametoka vipi leo.Lete vitu tunavisubili.
ReplyDeleteBasi tu ni kwa sababu uko bongo lakini wewe Bw Kipanya unahadhi ya cartoonist wa kimataifa. Huwa unaweza kuwakilisha ujumbe mzito kwa maneno machache sana. Kaza buti. Naungana na anony hapo juu, tumemiss cartoon zako, nalikumbuka sana pia gazeti sanifu (RIP)
ReplyDeletesafi sana Kipanya,tunamisi sana hizo katuni aisee hiyo ya lowasa imenimaliza mbavu kabisa haa haa
ReplyDeleteKweli tumekumiss sana,Lakini umekwenda kwenye wrong blog manake michuzi anaficha sana ukweli kwakuwa ni kada wa ccm bora uanzishe blog yako utapata watu wengi sana.
ReplyDeletekipanya pole na kazi mzee, naomba nikupe saruti kwa hicho kipaji chako cha pekee. u have just left me in stitches!!!!!!
ReplyDeletePANYA umekaribishwa jikoni kwa PAKA, teh teh teh... HUFURUKUTI TEEENAAAA!!!
ReplyDeleteMiaka ya mwisho ya Mkapa, Kipanya aliacha kuandika katuni kwasababu anasema "alitembelewa" na "kufikishiwa ujumbe". Naona uungwana wa JK wa kuvumilia dhihaka na matusi umefungua ukurasa mpya kwenye career ya Kipanya. Endelea kukamua baba kipanya.
ReplyDeleteKipanya kumbe yanki hivi, nilidhani ni mtu mzima sasa, maana katuni zake nimeziona tangu zamani sana. Keep up bro!
ReplyDeleteHamna Kitu.... Kuchonga tu!!
ReplyDeletekipanya kumbe damu changa ?? du nilidhani ulikuwa na miaka 80 juu ya uzito wa kazi ulokuwa ukifanya ni muda tangu nitoke bongo . here we go again michuzi umecheza kaka juu nyie ni magwiji keep it up guys.
ReplyDeleteKIPANYA,Naomba nichoree yule muhindi anavyoiba zile Bilioni 12,$12milions.
ReplyDeleteKARIBU KIPANYA ILA INABIDI UWE NA ROHO NGUMU KWELI KWENYE HII BLOG.MWAMBIE MICHUZI AWE ANAKUPA BANGI ZAKE SIKU MOJA MOJA.MAANA UNAWEZA KUTA MTU KAKUUNGANISHA WEWE NA FAMILIA YAKO HALAFU KITU YENYEWE NI TRUE.
ReplyDeleteWELIKAM KIRAT.
Karibu Kipanya!
ReplyDeleteKIPANYA UTAWEZA ?? WIFE,NERGIS NA BLOG KWA WAKATI MMOJA?
ReplyDeletemichuzi,
ReplyDeletetafadhali tuwekee picha nzuri ya kipanya i.e masoud, kwani hii uliyoweka ina giza giza hivyo kufanya sura yake isionekane vizuri zaidi. wengine ni mashabiki wake wakubwa na tunazifahamu vizuri kazi zake, ila hatuifahamu sura yake kwa karibu.all in all, nakupongeza sana masoud kwa kazi zako nzuri....kip it up.
mkewe si NERGIS ANAITWA SALMA
ReplyDeleteKIPANYA IS SO CUTE. ARE YOU STILL SNGLE? IF SO CALL ME....
ReplyDelete