
mtangazaji nyota wa kibongo wa redio ya deutche welle aboubakar mwana wa liongo akizungumza na prezoo wa ujerumani hörst koehler alipowatembelea dw hivi majuzi. anayecheka ni zainab aziz. mh. koehler alipokuwa hapo alipokelewa na watangazaji wa idhaa mbalimbali, lakini ni idhaa ya kiswahili iliyosisimua sana kwa kumkaribisha na wimbo wa kiswahili - " ....jambo jambo bwana...habari gani ....mzuri sana...." alisema kuwa anaihusudu sana bongo kwa utulivu wake na kuwa na mahusiano mazuri na serikali yake
hey Liongo yupo hebu tupatie picha yake nzuri Michuzi.hapo haonekani vizuri
ReplyDeleteHAPO LIONGO ANALIA AU ANACHEKA?...AU NDIO SURA YAKE ILIVYO?
ReplyDelete