mtangazaji nyota wa kibongo wa redio ya deutche welle aboubakar mwana wa liongo akizungumza na prezoo wa ujerumani hörst koehler alipowatembelea dw hivi majuzi. anayecheka ni zainab aziz. mh. koehler alipokuwa hapo alipokelewa na watangazaji wa idhaa mbalimbali, lakini ni idhaa ya kiswahili iliyosisimua sana kwa kumkaribisha na wimbo wa kiswahili - " ....jambo jambo bwana...habari gani ....mzuri sana...." alisema kuwa anaihusudu sana bongo kwa utulivu wake na kuwa na mahusiano mazuri na serikali yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hey Liongo yupo hebu tupatie picha yake nzuri Michuzi.hapo haonekani vizuri

    ReplyDelete
  2. HAPO LIONGO ANALIA AU ANACHEKA?...AU NDIO SURA YAKE ILIVYO?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...