waziri mkuu mh. edward lowassa akihojiwa na waandishi mara baada ya kutua mtwara leo aikongoza ujumbe mzito kuelekea tunduru kwenye mazishi ya hayati juma akukweti. jk alitua masaa kadhaa baadaye na kuelekea kilioni kupitia masasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. muheshimiwa spika vipi mbona kajishika hivyo?

    ReplyDelete
  2. sasa waandishi mmezidi, haya hapo mnamuuliza nini lowassa?

    ReplyDelete
  3. Jamani kaka michuzi wewe ni mchokozi kabisaaaaa huyo sipka wa bunge hiyo ndio simama gani kama kabanwa na mkojo??? au ana matege?

    ReplyDelete
  4. Michuzi unaweza kupost habari za Dr.Asha Rose Migiro kutoka kwenye mtadao http://www.un.org/apps/news/story.asp?NewsID=21166&Cr=Deputy&Cr1=Secretary

    ReplyDelete
  5. My Africa Todaymungu ibariki tanzania

    ReplyDelete
  6. waandishi mmezidi, haya sasa mnamuuliza nini lowassa?

    ReplyDelete
  7. Jamani mbona maraisi wakiwa Waislamu nchi hii viongozi walioko madarakani huwa wanakufa sana kulikoni? Huwa wanatoa watu makafara au ni kitu gani? Wakati wa Mwinyi walikufa wengi na sasa tena kumekucha.Kama huwa wanatolewa makafara basi tutarajie viongozi wengi walioko madarakani kufa kiaina aina kwenye utawala huu pia.

    ReplyDelete
  8. hiyo simama ya spika jamani mmmh

    ReplyDelete
  9. Poleni sana wote. Hivi Mh. Sitta ana mamatizo ya miguu?

    ReplyDelete
  10. We anony hapo juu una akili timamu kweli au una jazba za dini. Kufa watu wote watakufa uwe na dini au la, hakuna uhusiano na dini yeyote. Kwani mtu akiwa kiongozi ndo afi? kufa ni ahadi yako uliyoandikiwa. Inaonekana wewe ndiyo mshirikina. Watu wanatoa rambirambi wewe unawaza kafara au sangoma wewe?. Watu kama nyinyi ndo mnadumaza maendeleo. Kama huna point nyamaza.

    ReplyDelete
  11. Mbona kipindi cha Mkapa ambaye ni mkristu watu walikufa kuliko awamu nyingine yoyote. Unakumbuka treni iliyoanguaka Dodoma? idadi unaijua? unakumbuka MV bukoba? unakumbuka basi lililotumbukia mtoni Tanga? hayo ni kwa ufupi tu.

    ReplyDelete
  12. poleni sana kwa msiba kuondokewa na kiongozi shupavu Mh. akukweti, hivi bwana michuzi huyo aliyekaa karibu na waziri Chenge mkono wa kulia au wa mwisho kushoto si bwana Patric Mfugale Mkurugezi wa barabara za mikoa, amefata nini hali wote waliopo hapo ni wanasiasa, si ndio kujikomba kwa waziri huko ili apewe ukurugezi wa barabara, acha hizo bwana mkubwa waachie wenye ngoma yao waicheze.

    ReplyDelete
  13. we anony wa hapo juu ni tatizo sana ktk jamii.chuki yako dhidi ya uislamu na waislamu isikupelekee useme vitu vya kishenzi kama hivyo.hauna hoja ila ni ujinga tu umetawala kichwa chako.wabunge wangapi walikufa wakati mkapa ni rais? aliwatoa sadaka kanisani? na wale wa mv bukoba nao utasemaje? acha uendawazimu toa hoja hapa sio udini na pumba.na kama uko ughaibuni wewe ndie wale wazamiaji na ufom foo wao,sidhani hata kama una lolote la kuisaida nchi kama mawazo yako ndio hayo,badili tu uraia.

    ReplyDelete
  14. Wewe annoy hapo juu unayesema viongozi wanatolewa kafara, kama wewe umezoea kutoa kafara basi usifikiri kila mtu anatoa kafara alaa. kufa ni mipango ya mungu bwana.

    ReplyDelete
  15. mh kweli hiyosimama pale utafikiri anaizuia isidondoke!

    ReplyDelete
  16. We anon wa 1:44:37pm kama hujui watu afadhali ufunge bakuli lako! Huyo unayemtaja ni Mheshimiwa Balozi Mwambulukutu. Mwakilishi wa TZ huko South Africa.

    ReplyDelete
  17. Watu acheni za kuleta! Kwani pozi la Sitta na la Lowassa lina tofauti gani? Sema lowassa kawa mrefu kidogo tu na amejikunjua! Mbona yeye hamumsemi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...