Home
Unlabelled
lowassa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
muheshimiwa spika vipi mbona kajishika hivyo?
ReplyDeletesasa waandishi mmezidi, haya hapo mnamuuliza nini lowassa?
ReplyDeleteJamani kaka michuzi wewe ni mchokozi kabisaaaaa huyo sipka wa bunge hiyo ndio simama gani kama kabanwa na mkojo??? au ana matege?
ReplyDeleteMichuzi unaweza kupost habari za Dr.Asha Rose Migiro kutoka kwenye mtadao http://www.un.org/apps/news/story.asp?NewsID=21166&Cr=Deputy&Cr1=Secretary
ReplyDeleteMy Africa Todaymungu ibariki tanzania
ReplyDeletewaandishi mmezidi, haya sasa mnamuuliza nini lowassa?
ReplyDeleteJamani mbona maraisi wakiwa Waislamu nchi hii viongozi walioko madarakani huwa wanakufa sana kulikoni? Huwa wanatoa watu makafara au ni kitu gani? Wakati wa Mwinyi walikufa wengi na sasa tena kumekucha.Kama huwa wanatolewa makafara basi tutarajie viongozi wengi walioko madarakani kufa kiaina aina kwenye utawala huu pia.
ReplyDeletehiyo simama ya spika jamani mmmh
ReplyDeletePoleni sana wote. Hivi Mh. Sitta ana mamatizo ya miguu?
ReplyDeleteWe anony hapo juu una akili timamu kweli au una jazba za dini. Kufa watu wote watakufa uwe na dini au la, hakuna uhusiano na dini yeyote. Kwani mtu akiwa kiongozi ndo afi? kufa ni ahadi yako uliyoandikiwa. Inaonekana wewe ndiyo mshirikina. Watu wanatoa rambirambi wewe unawaza kafara au sangoma wewe?. Watu kama nyinyi ndo mnadumaza maendeleo. Kama huna point nyamaza.
ReplyDeleteMbona kipindi cha Mkapa ambaye ni mkristu watu walikufa kuliko awamu nyingine yoyote. Unakumbuka treni iliyoanguaka Dodoma? idadi unaijua? unakumbuka MV bukoba? unakumbuka basi lililotumbukia mtoni Tanga? hayo ni kwa ufupi tu.
ReplyDeletepoleni sana kwa msiba kuondokewa na kiongozi shupavu Mh. akukweti, hivi bwana michuzi huyo aliyekaa karibu na waziri Chenge mkono wa kulia au wa mwisho kushoto si bwana Patric Mfugale Mkurugezi wa barabara za mikoa, amefata nini hali wote waliopo hapo ni wanasiasa, si ndio kujikomba kwa waziri huko ili apewe ukurugezi wa barabara, acha hizo bwana mkubwa waachie wenye ngoma yao waicheze.
ReplyDeletewe anony wa hapo juu ni tatizo sana ktk jamii.chuki yako dhidi ya uislamu na waislamu isikupelekee useme vitu vya kishenzi kama hivyo.hauna hoja ila ni ujinga tu umetawala kichwa chako.wabunge wangapi walikufa wakati mkapa ni rais? aliwatoa sadaka kanisani? na wale wa mv bukoba nao utasemaje? acha uendawazimu toa hoja hapa sio udini na pumba.na kama uko ughaibuni wewe ndie wale wazamiaji na ufom foo wao,sidhani hata kama una lolote la kuisaida nchi kama mawazo yako ndio hayo,badili tu uraia.
ReplyDeleteWewe annoy hapo juu unayesema viongozi wanatolewa kafara, kama wewe umezoea kutoa kafara basi usifikiri kila mtu anatoa kafara alaa. kufa ni mipango ya mungu bwana.
ReplyDeletemh kweli hiyosimama pale utafikiri anaizuia isidondoke!
ReplyDeleteWe anon wa 1:44:37pm kama hujui watu afadhali ufunge bakuli lako! Huyo unayemtaja ni Mheshimiwa Balozi Mwambulukutu. Mwakilishi wa TZ huko South Africa.
ReplyDeleteWatu acheni za kuleta! Kwani pozi la Sitta na la Lowassa lina tofauti gani? Sema lowassa kawa mrefu kidogo tu na amejikunjua! Mbona yeye hamumsemi?
ReplyDelete