Home
Unlabelled
machupa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunasikia Machupa anafanya majaribio Newcastle United sijui kama nikweli labda Michuzi unaweza kutusaidia.
ReplyDeleteMichuzi mwambie huyo Athumani Machupa aje hapa Los Angeles maana ile timu anayohamia David Beckham ya LA Galaxy inafanya open tryouts kwa wachezaji soka. Open tryouts ni pale mtu yeyote anayedhani anajua kusakata Kabumbu au Soka anakwenda kujaribiwa bila ya kuwa na agent wala nini yaani unaenda wakikuona unafaa wanakusajili. Mwambie ajaribu aone itakuwaje.
ReplyDeletemdau wa hapo juu upo LA?naomba tuwasiliane nipo orange county,cm yangu ni 949-2743892
ReplyDeleteMACHUPA NADHANI USHAURI WA MDAU HAPO JUU UMEUPATA. JARIBU MWANAGU LA GALAXY KWENYE HIZO OPEN TRYOUTS, HUJUI BAHATI YAKO ITAKUWAJE.
ReplyDeleteasante kwa hawa wadau wawili kuhusu machupa kujaribu Galax, nafikiri wengi wetu badala ya kukaa na kuandika matusi na mamboya sio na maana kwani nini tusitumie blogger ya bwana michuzi kueleza vitu vitakavyo saidia watu wengine nawapongeza hao wadau wawili.
ReplyDeleteMachupa jaribu kuja Oxford kuna kijana wa kibongo anapiga boli vizuri sana huku na former mmiliki wa timu ni mhindi toka bongo just jitambulishe watakucheck natumaini kama uko fit watakuchukua.gudluck.
ReplyDeleteMichuzi waambie mafundi wa blogu yako waondoe maneno ya Kiingereza "Post A Comment" badala yake waweke maneno "Andika maoni hapa". Kwanini waliamua kuweka maneno ya Kiingereza badala ya Kiswahili?
ReplyDelete