yoooote tisa, lakini jamani ughaibuni nako kunadaii. cheki ninavyong'aa macho...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. kama kariakoo shimoni!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Nani anakupigaga picha. Atakushinda huyo kwa kuwa mpiga picha mzuri!

    ReplyDelete
  3. Msimbazi River at Vingunguti/Segerea area. During the rainy season residents have to cough 500/- to youngsters who carry them across....

    ReplyDelete
  4. ONA SASA USHAMBA WA MICHUZI ANAJIFANYAGA ANAKANDIA WANAOKAA MJUU WAKATI YEYE ANAKUJA NA RAISI KUOMBA MISAADA HUKU. 70% AU ZAIDI YA BAJETI YA TZ NI MISAADA TOKA MAJUU HALAFU UNASEMA NINI..? NA UTAPIGA SANA PICHA HIZO UKARINGISHIE TANZANIA.HATA HIZO NAULI ZENU NI PESA TUU ZA MISAADA. MKIJIBANA VI-ALLOWANCE NDIO VINAWAPA MDOMO.

    ReplyDelete
  5. Yani bro unaniboa kichizi. Najua hata hii hutaiweka hewani....ni kwanini unabania comment zetu na wakati sio za matusi we fala????.
    Tabia yako mbaya sana michuzi...mwanzo nilikua nakufagilia sasa hivi nimekudharau kabisa.

    ReplyDelete
  6. Mambo yako suuuuuuuuuuuuuuuuuuuuper

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...