bei ya fweza na madafu leo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. michuzi najua we mpambe wa serikali hii, nimesoma ktk gazeti la bongo, kenya wanatangaza Serengeti ipo kwao. Mnategemea nini hali hata website ya TANAPA hakuna highlight kuwa SERENGETI IPO TZ? inabidi usome vizuri ndo ugundue ipo Tz. www.serengeti.org/

    ReplyDelete
  2. nasikia wakenya wanadai serengeti ipo kwao. iamshe serikali yako, website yao inabidi ionyeshe serengeti ipo wapi mara inapofunguka. www.serengeti.org/

    ReplyDelete
  3. Well, nimetembelea web hii WWW.YoungAfrican.Com Bendera ya Tz ipo clear, nani anabuni web za serikali??

    ReplyDelete
  4. Hawa jamaa bwana wamekuwa wanatumia vitu vyetu vingi tu kujitajirisha. HAta mlima Kilimanjaro nwanadai upo Kenya. Yote haya ni kwa sababu tunasubiri muujiza utokee ndo watu wa Magharibi wajue kwamba Kilimanjaro ni wa Tanzania!
    Jamani tuamke, tuache kuimba wibo wetu wa sie masikini

    ReplyDelete
  5. Wakenya hawana makosa! WATANZANIA TUACHE KULALA USINGIZI! Uchumi mnao halafu manaukalia, waacheni Wakenya wafaidike! Serikali inafahamu hilo toka miaka ya 80 lakini haijachukua mkakati wowote kuitangaza Tanzania! Watalii wanafika Tanzania kuytokana na jitihada za watu binafsi tu. Watalii wanofika nchini wamepata information kutoka kwa watu binafsi, bodi ya utalii inapiga usingizi. Ukiwauliza viongozi wa serikali wenye dhamana ya kuitangaza Tanzania kama kivutio cha watalii, wanasema ni gharama serikali haina fedha! lakini hapo hapo unakuta sh. bilioni 15 za kutoa rushwa ya rada hizo zipo! inasikitisha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...