Home
Unlabelled
mechi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Liverpool 2:Chelsea0
ReplyDeletemichuzi its 2 to liverpool (kuyt and pennant) half time , second half ndo inaanza. chelsea nil
ReplyDeleteLiverpool 2-0 Chelsea. Kuyt dkk 4, Pennant dkk 18. Kipute bado kinaendelea...
ReplyDeleteMzee, mpila umeisha. Bado 2-1. Ugaibuni!!!
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeleteTumewalamba viwili kwa nunge ;-)
LIVERPOOL 2 CHELSEA 0
ReplyDeleteahsante sana rafa, liverpool 2 chelsea 0. kesho 9 points gap. ahsante san rafa
ReplyDeletewe michuzi acha kuiba TV ya watu, wata kuwasha moto---njoo chukuwa kitu LCD 42" huku
ReplyDeleteWewe anany hapo juu acha ujinga! Kesho lazima MU mdeki tu.Kakuna cha gepu la 9 wala nini.Lazima tuwashikishe dekio.
ReplyDeletemichuzi usingeonyesha Tv unayotumia bana, duh!
ReplyDeletesiku uki upgrade to lcd tupostie, ha ha ha !
ReplyDeleteMichu kwa kujibust!!
ReplyDeleteNakuona mwanangu na TV yako ya mwaka 47, inabidi ukae karibu sana ili kuwaona wachezaji. Next ukienda majuu, update uchukue Panasonic Viera 50 inches (Plasma). Unaweza usitoke ndani kwa mwezi ili ule maraha ya chombo hicho, lakini bei mbaya.
ReplyDeletetoa tongotongo kwanza kabla hata ya kuwahisha hiyo tv...
ReplyDeletewarning barca nao wajitayarishe kufunga virago sisi watu wavikobe bwana.
ReplyDeletemkojo umesukuma gogo !
ReplyDeleteMichuzi hapo inaonekana kama ni kwa kinyozi, vioo vingi..Lakini huwa unaonekana Newala,tukuy,ukerewe,qatar,n.k Mbona hurudi bongo na upudaiti ya Luninga???
ReplyDeleteQatar ni bei poa...
watu hawamwelewi michuzi, unajua kama mpiga picha anatumia sanaa kuchochea mjadala.
ReplyDeletesi kweli kwamba hiyo ndiyo telly yake pekee.kama vile anavyosema english not reachable, anawazuga tu.
anajua kuzungumza, kuandika na kusoma kiingereza huyu.na hiyo tv ni kanyanga.kama ana laptop atashindwa kuwa tv ya 28"?
hongera michuzi kwa kuwachanganya wafuasi wako.
watu hawamwelewi michuzi, unajua kama mpiga picha anatumia sanaa kuchochea mjadala.
ReplyDeletesi kweli kwamba hiyo ndiyo telly yake pekee.kama vile anavyosema english not reachable, anawazuga tu.
anajua kuzungumza, kuandika na kusoma kiingereza huyu.na hiyo tv ni kanyanga.kama ana laptop atashindwa kuwa tv ya 28"?
hongera michuzi kwa kuwachanganya wafuasi wako.
Kuwa na laptop ni big deal bongo ehe!!! Kwa hiyo laptop na TV vinaenda parallel??
ReplyDeleteAnon wa Sunday, January 21, 2007 10:40:20 PM, laptop Bongo ni deal lakini iko matawi ya juu kuliko TV. Laptop ya chee kabisa ni USD 450 wakati TV ya chee kabisa ni USD 50. Flat screen kama aliyobeba michuzi hapo ni around USD 120.
ReplyDeleteaaah!! michuzi wewe ni mzee au sura imekataa kwenye camera?
ReplyDelete