nipo na naibu meya wa ilala mh. yakubu mtaa wa oksfodi striti, ukerewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi huyu Naibu Meya anadili gani hapa Ukerewe, maana muda sasa anaonekana, utamkuta yuko "busy" sana kwenye mikusanyiko ya Wadau London au nayeye kaja kubukua?

    ReplyDelete
  2. WEE ANONY HAPO JUU SHIDA YAKO NINI? EBU NENDA KAOGE UKABEBE MABOKSI HUKO!! HAYO NI MATEMBEZI YA KAWAIDA YA SISI TUNAOISHI BONGO

    ReplyDelete
  3. wee mheshimiwa utarudi lini bongo? wapiga kura huko ilala wanakusubiri uwatatulie matatizo yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...