Home
Unlabelled
membe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana Mheshimiwa Membe. Huu uteuzi umefika penyewe hasa. Hongera pia kwa Mheshimiwa Rais. Maana huyu Mheshimiwa jamani ni Mwanadiplomasia mwenye uzoefu na kati ya wale viongozi adimu ambao wanajituma vilivyo, mchapa kazi, mtetea haki, msema kweli, mzalendo, msomi na juu ya yote hana kashfa zile zinazowaandama baadhi ya viongozi wetu hasa kwenye maswala ya rushwa.Mungu amjalie kila la kheri katika kazi yake mpya. Kwa Watanzania wenzangu, naomba tumpe moyo, respect na support. Asanteni.
ReplyDeleteHongera sana Mheshimiwa Membe. Hongera pia kwa Mheshimiwa Rais kwa uteuzi huu. Uteuzi huu umetua penyewe. Mheshimiwa Membe ni Mwanadiplomasia mzoefu, msomi, mwadilifu, mchapa kazi, mtetea haki na msema kweli, na juu ya yote ni kiongozi ambaye hana kashfa za maswala ya rushwa katika jamii yetu. Kwa Watanzania wenzangu, naomba tumpe heshima na ushirikiano ili aweze kutumikia vizuri nafasi yake mpya katika baraza la mawaziri.
ReplyDeleteHongera sana Mr. Membe na Mungu akubariki katika kulitumikia taifa letu. Asanteni.
wewe said yakub acha ushamba, hiyo id card yako siyo kwa ajili ya kuvaa mtaani.
ReplyDeletetechnically, hiyo ni access card ya kufungulia milango pale bush house, na pia kitambulisho ukiwa ndani ya jengo, otherwise huo ni ushamba, au upimbi.
msomi mzima, unakuwa limbukeni!