kumbe ukerewe kwa midoli ndo kwenyewe...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. Sasa Ustaadh wakati mwingine na wewe unanishangaza. Humo uliingia kutafuta nini? Au ndio katika kununua zawadi? Kuna mtu unataka kumtunuku nini pale Daily News? Maana nina uhakika hii huwezi kupeleka kwa my waifu wako!
    Anyway, utani pembeni. Nina uhakika mtu akianzisha duka la kuuza bidhaa hizi bongo atatengeneza pesa nyingi sana. Michuzi kama unataka partner wa kuanzisha duka hilo, nitonye. Niko tayari.

    ReplyDelete
  2. Mzee Michuzi na wadau wote, hao WANASESERE NI SOOO...Ama kweli hizi ndio siku za mwisho zinazozungumzwa kwenye vitabu Vitakatifu.
    Endelea kutupa vitu, halafu labda uweke limit ya umri wa ku-access hii blogu yako mkubwa.

    ReplyDelete
  3. michuzi pass my comment I just posted ya are evil ya should know we have kids go in this blog, remove this picture it is insane and disrespectful. I did not know ya are gay?

    ReplyDelete
  4. Hivi Michuzi hapa tunajifunza nini???tambua kuna wazazi wetu wasoma pia,kuna watu na heshima zao pia wanasoma blog yako na inaheshimika,but with this u will DROP.
    Leta vitu vya maana,na pia tambua kuwa kuna TAMADUNI za nchi yako ni pamoja na HESHIMA{THIS IS NOT OUR CULTURE MICHUZI}

    ReplyDelete
  5. michuzi umeanza kuishiwa?waulize darhotwire sasa hivi wanapost na kusoma wao wenyewe.
    please hadi watoto wetu wana access na hii blog.sisi ni watanzania jali maadili.

    ReplyDelete
  6. misupu sasa unakokwenda mbali,kweli ni picha za kutuonyesha watu ,kama umechoka sema mazee,hiyo midori umepiga tu,tunajua ulikuwa unatafuta ma picha za watu wanapigana mikasi acha kutuzuga,swali umemenunua movie ngapi?

    ReplyDelete
  7. Sasa michusi umefikia upeo!mwisho wako, hizi ndio habari za kuwekea wananchi ambao unatunia kodi zao kutanua huko!

    ReplyDelete
  8. Bwana michuzi hii picha ni kinyume na maadili ya mtazania

    ReplyDelete
  9. Michuzi hayo ni ya Musa tu, ukienda Amsterdam ndio utayaona ya Firauni.

    ReplyDelete
  10. Watu wanashangaza kweli. oooh maadili oooooh maadili. hiyo ndiyo sifa kubwa ya waTZ...kulaumu! hii siyo blg ya dini! Haina terms and conditions. Ingekuwa watanzania wanafuata maadili wasingemalizwa na ukimwi! Unajua maadili wanayoongelea hapo juu bwana Michuzi? ni kwamba Fanya ufidhuli woote gizani, watoto wasione. Lakini mwisho wake si utaonekana? Acheni ushamba wabongo. Kazi ya blg ni kuburudisha, na kwanza hamlipii, hakuna mwenye haki ya kumpangia nini cha kuweka. Bravo michuzi!!!!!

    ReplyDelete
  11. Sasa Bwn Michu kuna faida gani ya kuchuja maoni? wakati matusi yenyewe umeamua kutuwekea hadharani! Tafadhali michuzi ondoa picha hii! Sikudhani hata siku moja kama ungeamua kutuwekea picha za aina hii, please!

    ReplyDelete
  12. nyinyi anon wote hapo juu ni wanafki kasoro huyu wa 12:43:26, kwani kuna ubaya gani kupiga picha ya duka zima na kuwaelimisha watu kama nyinyi mlio kizani ili mjue kwamba hivi vitu viko ndani ya maduka haviuziwi vichochoroni? eti utamaduni wetu hautaki wakati nyinyi nyote mliokandia mnayo hayo magazeti na video zake vyumbani kwenu, kama ulitaka utamaduni wako wewe usingeweza kujua kama ndani ya lile duka kunauzwa video mpaka unamuuliza michuzi amenunua video ngapi!!, michuzi hakusema kama pale panauzwa video!! michuzi hakusema kwamba lile duka ni la gay!! yeye anawaelimisha watu wasiojua kwamba ekelewe kuna midoli ndicho alichoandika, wewe ulijuaje kama lile duka ni la ma gay? kama si unafki? unayatumia nini yale madude mpaka michuzi kuposti picha amekutia hamu? wanafki wakubwa kila kitu mnataka kukontrol, hiyo picha mtoto labda umueleze wewe kuna nini yeye ataona ni wanawake wamevaa chupi tu, atakaeona kitu kingine basi huyo si mtoto tena amini maneno yangu!! Michuzi wawekee mambo wazushi hao wanapenda sana!!.

    ReplyDelete
  13. Mtoto ni barua ya nyumbani, hapa tumepata picha kamili wewe ni nanni na umelelewa vipi

    ReplyDelete
  14. Hii ndio inaonyesha ethics za wabongo. Michuzi wewe ni mtu mzima na ni mategemeo yangu una akili timamu. Hii site hujatoa ilani kuwa ni ya watu wa umri fulani tu. Kwa maana hiyo kuna vija wenye umri chini ya miaka 18 wanaoingia humu ndani, je hii ni sawa kuweka hii kitu? Utafurahi kama una mtoto wako au mdogo wako under 18 akiona haya mambo. Nadhani hata kwenye hilo duka kuna ilani kuwa ni lazima uwe umri fulani ili uweze kuingia na kuona hayo mambo----hata huku ugaibuni ambako mambo hayo yamekolea huwezi kuta wanaweka hovyo---hapo umechemsha. Hii kabisa inaonyesha your ethical standards, lakini sio kosa lako maana bongo hawafudishi hili somo la ethics---sio vyuoni wala kabla ya hapo. Kwahiyo tunakusamehe kwani ulikuwa hujui utendalo kwahiyo towa hii kitu.

    ReplyDelete
  15. Naenda kukusemea kwa mkeo

    ReplyDelete
  16. Mimi sioni tatizo la Michuzi kuweka picha hii.Inabidi na sisi watanzania tusiwe wanafiki.Hapa anajaribu kutonyesha kuwa kwa wenzetu vitu hivi ni vya kawaida sana hivyo basi sisi kama watZ hatutakiwai kuiga mambo haya.

    Jamani ee unafiki ni kitu kibaya sana sasa hivi vijana wetu wameharikika sana na utamaduni wa magharibi vitu kama hivi wewe mzazi kama ulikuwa hujui basi watoto wako wanjua sana ni jukumu lako kumkemea na kumonyesha mabya ya hizi tamadujni zetu.

    Mbona siku Bongo watoto wanakaa uchi mbele ya baba zao na nyinyi wazazzi mnakaa kimya eti kwenda na wakati.Sasa kwa hii ndio mnaona mpigie kelele.

    Mimi napmba tu sio kuhusu hili ndio tupigiea kelele kuna mambo mengi sana ya kuyapigia kelele kuhsu mmomopnyoko wa maadili.

    Nasikia sasa hivi Dar wanonyesha video za ngono mchana kutwa na watoto wakiwemo.Hiyo je??

    TUBADILIKE JAMANI

    ReplyDelete
  17. Ayaaaaaaa, astakafulullah! Michuzi, hii nini tena. Nilifikiri karoti wameanza ku-pack kwenye mabox, kumbe .....

    ReplyDelete
  18. ”Wema unawaponza wenzako”


    Wakati ile dhana ya kusema urembo ni uhuni inaanza kuwaondoka wazazi na jamii kwa ujumla kwa mafanikio na faida zake kwa jamii kuonekana sasa Wema anaanza kuharibu

    Tangia mrembo huyo anayeshikilia taji la Tanzania avikwe taji kukubalikwa kwake kwa jamii na jinsi anavyoitumia imezidiwa na yale mabaya yake yanayosikika

    mwaka jana mrembo huyo alitangazwa kapotea,lakini baadae akaja sema alikuwa kwa shangazi kitu ambacho jamii haikukubaliana nacho

    Kabla hilo halijasahaulika kuna gazeti limetoa picha akiwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya TID zikiwa zinaonyesha kuwa ni wapenzi, pamoja na kuimbwa na msanii mwengine Mr Blue kuwa yeye na wema tu...ikimaanisha wanamahusiano.

    Hivyo basi kwa matukio hayo tayari imeshakuwa gumzo mtaani wakidai hilo taji alilonalo ndo linamjanjarusha na kumhamasisha kupotoka.

    ....Huyu Wema atawaponza wenzake ,wazazi watakuwa wanawakatalia kushiriki wakijua wakishapata taji watawehuka...ilisema sehemu ya barua pepe iliyotumwa na kreketwa wa urembo.

    Haya dada Wema rekebisha hiyo ili umpata mrithi mkali.

    ReplyDelete
  19. Unaju ahii site ni kama baba na watoto wake.Yaani Michuzi ni baba na nyie wato maoni ni watoto wake.Kila siku mnamsakama lakini yeye anachonifurahisha hawajibu kabisa. h aha ahahah haa.

    ReplyDelete
  20. Aah watoto wanaingia tovuti nyingi sana na wanajua zaidi ya hayo kwenye hiyo picha...msiushangaze ulimwengu,hakuna kigeni hapo...hata bongo hiyo midoli ipo sema inauzwa vichochoroni,sasa michuzi anataka tujue kuwa wenzetu wanamaduka maalum yanayolipa kodi kwa ajili hiyo...kinachoharibu utamaduni hapo ni nini? acheni unafiki washkaji...huu ndio ulimwengu wa sasa....wawekee nyingine michuzi,watu nyumbani wanahitaji kujua kwamba hii ni kawaida!!

    ReplyDelete
  21. Sasa sijui nyie wenzangu, lakini hiyo corner aliyo kuwa huyu jamaa, labda ni kutokujua ni GAY SECTION, huoni vitu hivyo....mimi ni gay na nakuambia ukweli. Baba sikunyingine angalia na uwe more careful....MBONGO NJ

    ReplyDelete
  22. Sasa sijui nyie wenzangu, lakini hiyo corner aliyo kuwa huyu jamaa, labda ni kutokujua ni GAY SECTION, huoni vitu hivyo....mimi ni gay na nakuambia ukweli. Baba sikunyingine angalia na uwe more careful....MBONGO NJ

    ReplyDelete
  23. anony manaolalamika kuhusu watoto na maadili mnamanisha nini?hamjui kuwa mnatakiwa kuwacontrol wanenu kipi cha kufungua na kipi si cha kufungua?sasa watoto wanatafuta nini kwenye blog hizi?kusoma comments za watu??mnawafundisha nini sasa kutoka kwenye comments wanzosoma kila siku kama sio kuchanganyikiwa?makosa ni yenu wala sio ya Michuzi.

    ReplyDelete
  24. MICHUZI DUKA HILI HAKUTOKA HIVIHIVI, LAZIMA ATAKUWA AMENUNUA MZIGO WA 'NGUVU'. SASA TUNAMSUBIRI AIRPORT TUMKAGUE. INAONEKANA AMEDHAMILIA KULICHAFUA TAIFA HASA WATOTO WETU. NASIKIA ANA ORDER YA DVD, VHS NA MIDOLI TOKA KWA WATU MBALIMBALI HAPA DAR. TUKIKUKAMATA NAVYO HATA DHAMANA HUPATI TUNAKUSWEKA LUPANGO. RIANGALIEEE...

    ReplyDelete
  25. nakuheshimu sana michuzi, inabidi uondoe hii picha, usiwe mbishi, tunajua kuwa wabongo wenye madaraka fulani huwa wabishi sana, lanini wewe pamoja na kutembea kwako sehemu kibao(exposures), inabidi ukichemsha ukubali - BABU NAOMBA SANA UIONDOE HII PICHA

    ReplyDelete
  26. Michuzi naona sasa unajisahau. Naomba uchague kwa kina picha za kuweka kwenye hii blog! Si bora ungeweka hata picha ya twiga? Kwa kweli hajafurahisha hii!!!

    ReplyDelete
  27. Wewe anyn. Thursday, January 18, 2007 3:55:59 PM, Huna sera

    ReplyDelete
  28. Halo, picha za dildo za nini tena. Wanaume Bongo hawaishiwa nguvu za kiume hivyo hizo dildo ni redudant! ASANTE kwa hiyo picha, ama kweli wazungu wana mambo. Bahati nzui hakuna picha ya mweusi au dildo black hapo!

    ReplyDelete
  29. Kwa nyie mnao sema kuwa kuna wazazi wenu wana soma humu na kuona hizo dildo, mnadhani kua wao hawajui na ni jambo jipya kwao? kwa mila za kiafrika na kwengine , wazazi wengi ni wana ngonoka sana na kuwa na wapenzi zaidi ya mkewe ndio maana asilimia kubwa ya wazizi wa kiafrica wanapo fariki , utadshnaga watoto watakavyo jitokeza kila sehemu .

    Na nyie nao dai kuwa eti mna watoto wana access internet , hivi wew mzazi gani una kubali mwano aingia kwenye internet unsupervised? una dhani mtoto wako akija online atakuja kwenye blog hii ambayo ni ina bora wka watuwenye rika dogo? kama hamja fahamu watoto ni wadadisi na kitu cha kwanza akishaingia online ata type word sex , hapo atapata kila kitu, kwahiyo kama mtoto wako akija online ujueana ona mambo makbwa zidi ya hizo dildo.

    Ila kwakweli sikutegemea kuona picha kama hii kwenye blog ya michuzi na pale nilipo muona tuu ana shuka kituo cha Tube cha Picadilly mawazo ya kwazna huyu ni kuwa alikwua anaelekea SOHO , kucheki mambo fulani ya usiku , na baada ya kuona hii picha ni ka copmfurm kuwa ni kweli, lazma aliitwa na wale mapimp pale akikatisha kenye zile peep shows.

    ReplyDelete
  30. Michuzi hapa ulaya hayo maduka yanaitwa ADULT shops, kama unataka kuweka hayo madudu kwenye blog yako hatukatai;iite ADULTblog....kisha fuata taratibu zilizopo...(cyber rules)

    ReplyDelete
  31. we michuzi huna adamu, hujui kama unatutamanisha hivi hapa naona du ...zimepanda na sina wa kuzishusha.

    ReplyDelete
  32. Michuzi, anon wa 6:49 ana mawazo mazuri. fungua blog ya adults only kama Young.african.com na ubandika hizo picha za wakubwa!

    Wengine tuna hamu kweli ya kuziona!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...