
dk. asha-rose migiro akiwa na jk na mama salma kikwete na mumewe profesa cleophas migiro na watoto wao chansa (8) na twalame (20) ikulu leo baada ya kuwasili toka sauzi na kupata mapokezi makubwa kwa kuteuliwa kwake kuwa naibu katibu mkuu umoja wa mataifa. safari hii bongo tumepiga bao la kisigino...yaani watani wetu wa jadi kama nawaona vile....hahahaaa!


Duh! First lady aanze mazoezi amenenepa sana. Afya itunzwe, unene unaweza lete maradhi (i.e ugonjwa wa moyo, kisukari) na mengine mengi. Inaweza kuliletea taifa hasara (i.e, gharama za matibabu kutibiwa nchi za nje. Tafadhali mlio karibu na First Lady hebu mwambieni.
ReplyDeletebao hili inaelekea limeenda mbali zaidi ya kwa watani wa jadi.bbc wameandika sentensi saba tu kuhusu hii habari na katika hizo saba ni moja tu ndio inayomzungumzia mama Migiro moja kwa moja!http://news.bbc.co.uk/2/hi/in_depth/6235907.stm
ReplyDeleteHongera Dr.Asha-Rose, hilo ni bao la kisigino wandugu,hao watani wa jadi kama nawaona vile macho yamewatoka!!,wao wanajua jina lao tu ndio liko ngazi za juu...wamesahamu kama TZ ni ari mpya kasi mpya na nguvu mpya.....tuwakilishe vema mama...
ReplyDeleteMichuzi watani wetu,hawatuwezi si mnakumbuka Dr Salim nae alikua akalie kiti cha kabla ya Annan kama sio USA kutia kauzibe.Beijing kwenye mkutano wa wanawake nako nako tulipeleka mtu(Mongela);OAU nako ndio usisema mpaka lugha tumeipeleka na wameikubali.Watani wataishia kula kuwa Mbuzi kula kunapoishia kamba (east africa)bahari hawavuki.
ReplyDeleteHila msisahau nyumbani bado kuna harufu kali sana ya RICHMONDULI; Hii harufu hata wakitumia manemane bado haitaisha.Mbona wameanza kiuba mapema sana? wanatafuta pesa za kujiandaa na kampeni za uraisi 2015 au wanarudisha madeni ya kampeni zilizopita.Naomba kutoa hoja.
Hata nyie mlitilia mtu kauzibe ili Mkorea ashinde
ReplyDeleteHURAAAA HURAAAAAAAAA ROSE... STRENGTH OF WOMEN!!! GO ON GIRL SHOW THEM WHAT YOU HAVE MADE OF!!
ReplyDeleteTUNAHITAJI WANAWAKE WOTE TZ TUFUATE MIKONDO HII KITABU KWA SANA NA KUONYESHA UMAHIRI MPAKA UN INASALUTE!! NA BADO WAKO WANAWAKE WENGI WA SHOKA - NATUMAINI WATAENDELEA IBULIWA HUKO WALIKO!! YOUNG WOMEN OUT THERE THIS WOMAN IS A REAL SUPER ROLE MODEL...
ILA KWA WALE AKINA NANIHIII WANATAFUTA UMAARUFU KWA NGONO NADHANI HAWATUFAI NA WALA HAWAFIKA MBALI.
duuu ila first lady kavimba halafu ndio mavazi gani hayo kuvaa ikulu over katokea kwenye alaiki..!! Hata kama casual wear basi kuna vitu vinakwendana na umbo lake bwana sio lifulana jalo... huyo mshauri wake anafanya nini???
ReplyDeleteKuhusu unene hamna noma ndo alivyo walao twajua hajaupatia ikulu... zoezi kiasi kujiweka fit tuu mama nona weeeeeee!!
DOCTOR.
ReplyDeleteCONGRATULATION DR. MIGIRO I TAKE THIS OPPORTUNITY TO WISH YOU SUCCESSFUL CAREER IN INTERNATION AFFAIRS .I HOPE YOU WILL BE GOOD TANZANIAN ENVOY AND MOTHER OF AFRICA BUT IRON -LADY DIPLOMAT...
for my people congraturation to have exposure person in the world...at last Tanzania hoyeee... (my self so proud of that)
DOCTOR.
Asha-Rose Mtengeti Migiro:
ReplyDeleteDo The Millennium Fire Dance!
Copright: Born Again Pagan, 2007
Asha-Rose Mtengeti Migiro,
As a woman,
You have come a long way,
Baby!
Time was when Leon Bukassa
Of then Congo-Leopoldville
Composed and sang
In 1960’s "Bibi Sultani"
A disparage of African woman
And her empowerment
To take charge
Amid advantaged masculine-skewed
Gender inequality.
In Bibi Sultani
A man either marries
A traditional rural wife
And moves into the city
With her
Or he returns into his village
To marry a traditional wife
And brings her
In the city.
The new city sophistications
Lead to her self-discovery;
They liberate her to question
The arresting traditional shackles
And she responds;
She shades off
Her rural imageries,
As a subservient woman
To the chagrin
Of her husband machismo
And his disparaging reaction
Singing in amazement:
Bandugu wapenzi
Ninataka kuwapa habari
Bandugu wapenzi
Inakuwa namna hiyo
Wanasema
Sultani ni mwanamke!
Wapi wandugu
Mliona habari hiyo?
Bibi Josephina
Kwa mapendo,
Nilikupenda
Njoo ville
Unataka kuwa
Sultani wangu!
Akili ya bibi
Haiwezi kushinda ya bwana
Akili ya bibi
Iko sawa mtoto mdogo!
Like Okot p'Bitek “Lawino”,
Picking up machismo baton,
Fela Anikulapo-Kuti song "Lady"
Elucidates Bukassa song;
The multi-standard song
Glorifies yet denigrates
African woman
Prescribes how she occupies space
And carries herself
Her proper relationship
Ridicules foreign trait aping
Of being a “Lady”!
She remains submissive
She is a subordinate wife,
She sheds off idea of "lady":
Lady is anaemic
Lady is untraditional
Lady is spiritless dancer
Of the African fire dance
For her man!
Asha-Rose Mtengeti-Migiro,
You have proved
Omugasi nyangubho
(A no nosense woman)
Keep on climbing
You daughter of African soil
For you are not climbing iron pole
Wearing iron shoes and gloves
Where man is climbing
Wearing rubber shoes and gloves!
Mama wa Tanzania,
Emulate Asha new day dawning
Reinvigorate Asha new day dawning
Rise to protect your rights
For the time is now:
Reform, transform, and change
That conscripting life
That condemning life
Which reverberates
Your passive entity format
In society
As if "ordained” life!
Your man intransigence
Continues perceiving you
As a non-starter in matters
Affecting Tanzanian total ticking,
As Tanzania does;
Your existentiality
Prescribed and described
Reduces you to a passive format!
You are understood
Along a dichotomized
Linguistic milieu or context
In which you are not the main
But a dependent sentence part,
A dependent clause or phrase;
Your operational contents
Derive from and reflect
Into a context of a passive
Not an active entity:
Unaolewa!
You are understood
Along a dichotomized
Linguistic structure or context
That conscripts you
Into a passive linguistic format;
The format elevates
And reserves the active role
For your man
Anakuoa!
Your daily chores conscript you
On statistical measure or scale,
Along the horizontal axis,
As a dependent variable
Manipulated by thevertical axis,
The independent variable,
Which is reserved for your man!
You suffered along lamentations
Of Mwalimu Julius Nyerere:
During Anglo-colonialism
An African woman suffered
From a double-domination dose
Of Anglo-colonialism
And from colonialism
Of African man!
The time of colonialism is over;
Last century industrialization
Replaced human muscles
Yours were disadvantaged
For strenuous tasks;
You do not need a muscular man
To chase impalas
All day long to eke out a living
This century digital information
Is even replacing human brain
Sequential linearity;
Its software is beyond
The gender divide!
Mama wa Tanzania,
Mine is a call on you
For a diplomatic revolt:
Liberate yourselves,
Empower yourselves
From all traditional shackles
That bind you
To macho intransigence
As a passive recipient
And entity of Mtendewa!
Sweet mama,
Rise to sensitize,
Rise to sharpen,
Rise to crystallize
Tanzanian women questions
Tanzanian women problems
Tanzanian women issues
Tanzanian women concerns!
Rise to usher in women
New vistas of hope
And empower new optimism open up,
Like buds of rose flowers;
Let this renaissance release
Its timely fragrant smell
To deodorize stinking negativism
That humiliates
That marginalizes
That neglects
Your humanity
And your endowed rights!
Mama wa Tanzania,
Rise wikukumure (shake off)
The rainwater of such debasement,
Like bird shakes off rainwater
To warm up!
Rise to compose a new symphony
Of women-centred empowerment
And women-centred gender equality
In Tanzanian liberty re-conquered
Along ari mpya, nguvu mpya
Na kasi mpya that new leadership
Espouses!
Rise,
Tanzanian women virtuoso
Tanzania women repertoire,
Rise to organize a musical concert
In newly erected Dodoma Parliament
And do the fire dance
For your own self-discovery
For the larger community
To dance, too.
Let the new Tanzania,
In one accord,
Join in to sing this song
Of women liberty re-conquered
For the corridors and walls
Of Dodoma Parliament
To reverberate all
With uplifting echoes
Of gender democratization
And gender equality!
Where are wakina baba wa Tanzania
That Tanzanian new breed virtuoso
The new adept repertoire
That new Tanzanian adroit ensemble
Liberated out of machismo cacoons
To play ready-arrayed
Musical instruments of ebhikuri,
Jifilimbi, jicheche, jinandala
Jiinong'o, amatungu,
Jingoma and jimarimba?
Let Tanzania and yonder hear
The seasoned Tanzanian new song
Of women-centred liberation
Women-centred empowerment
And gender equality
To dissipate all cluttering noises
Of helplessness of wakina mama all!
Establish and instil:
Wakina baba wa Tanzania
Na wakina mama wa Tanzania
That pair of sharp scissors
Cut the ribbon
Of women empowerment
Gender equality
And shall forever
Remain gender partners
For future generations
To emulate!
Fantastic!
Hao watoto watasomeshwa best schools duniani na United Nations! Wana bahati kweli. Je, wanaelewa mama yao kawa nani?
ReplyDeletePicha safi sana. Mume upande wa kushoto, Kikwete upande wa kulia!
Shule na uchapakazi ndivyo vimemfanya afike hapo. Kwa hiyo, tunaojifanya wasomi,kuvimbisha matumbo, kukaa tu ofisini na kunyanyasa wengine tubadilike. Na wale wanaopata nafasi za kusoma (wanaume kwa wanawake)wakazembea na kufeli badilikeni pia. Changamoto hiyo kinamama tuwe busy na shule siyo "u-miss" hautufikishi popote. Hongera Asha. KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA.
ReplyDeletehongera migiro, hongera sana.
ReplyDeleteila first lady aangaliwe kula kula, ananenepa sana,haijatulia kwa mama wa nchi,nasisitiza zoezi,pfffffffffffff
Jamani huyo Twalame mzuri, what does she do?
ReplyDeleteYaaaap hii inaitwa kama kawa! haya sasa hakina dada kaza msuli dunia imepania kuwainua, piga kitabu acha porojo na kwenda kwanja kwa saana kwa wale wa 'bodingi skuli', piga shule, shule muhimu vijana hata na nyie wanaume kaza buti, who knows one day will be YES, ila ni kweli ni changamoto kwa wenye kisomo na ajira! CHAPA KAZI one day the society inaweza kuku-mingiro au kuku-tibaijuka tukakukuta mitaa ya New York, UN unawakilisha.....
ReplyDeleteNatanguliza hongera kwa mama Migi na mzee wake....
Congrats Dr Migiro, We Tanzanians are all proud of you and we sure you will do us proud. God Bless you and all the best
ReplyDeleteCONGRATS DR MIGIRO, DO US PROUD, GOD BLESS YOU
ReplyDeleteHuyu angekuwa mama yangu ningewaburuza(mashori)
ReplyDeleteHuyo twalame anajua kiswahili jamani!!!!!Ukifanikiwa kula mzigo umasikini unatoka NDUKI!!!!!!
ReplyDeletewatani wa jadi imewauma sana. the nation wameendelea kueneza uzushi ati south korea waliihonga tanzania ile wapate ukatibu mkuu.
ReplyDeletemzee ban ameliongoza ktk polls zote na kuchaguliwa unanimously na general assembly.
kama ni hivyo kulikuwa na haja gani ya kuhonga nchi ndogo kama tanzania?
enewei, nampongeza Dr.Asha-Rose Migiro kwa kuchaguliwa Naibu katibu mkuu UNO. Nampongeza Prof.Dr.Eng.Cleophas Migiro kwa kumpa moyo mkewe afanikiwe na apande ngazi ktk taaluma yake na siasa.
Mimi Mama Migiro simpendi kabisa kwa mambo fulani ya kifamilia yetu lakini kwa kuteuliwa kwake nampongeza.Hongera sana mama.
ReplyDeleteShow me what U gat lil mama???????Kuchagulia sio kazi ngumu sana ila to show the world that you can really bring some changes.
ReplyDeleteShe have been appointed,what nex?Be historical show the world what you have to offer in terms of good leadership.
ReplyDeletehaya kazi kwenu kina chifupa munaopiga domo tuu elimu hakuna.shule tuu hapa inaongea.hata wasema mambo ya mapenzi but bila shule angeupata?.tunamshauri mtu kama AMINa Chifupa ajiendeleze Walau aipate hata degree!congratulation umetuinua watanzania!
ReplyDeletePongezi Dr. Migiro.
ReplyDeleteI would like join my fellow Tanzanians to extend my sincere Hongera to Dr. Migiro. What an achievement!
But, Mzee Muchizi, how has her appointment to UN been received in Tanzania? Is it talk of the country? I am asking this because I have not read a lot about it from our press instead copious amount of coverage has been devoted on 'U-miss'. To be fair, I only have access to online newpapers e.g. ippmedia etc.
It is high time people stop aspiring to 'U-miss' and start emulate Dr. Migiro. I think Mzee Michuzi you are in good position to educate people about the great import elimu has in bringing both personal and national progress, since You have attended many such beauty peagents as special guest.
'U-miss' is a fleeting fad at best and crass exploitation at worst.
Once again, congrats Dr. Migiro.
CONGRATULATION ASHAROSE MTENGETI-MIGIRO
ReplyDeleteNAIFAHAMU SANA FAMILIA YA KINA MTENGETI, NI WAUNGWANA HASA WADOGO ZAKE WANAOITWA RAHMA MTENGETI NA AMINA MTENGETI, POA SANA HAWANA MARINGO NA NI MARAFIKI WAKARIBU SANA KAMA NDUGU NA FAMILIA YA KINA NYERERE.
MUNGU AKUBARIKI SANA. UMETUFANYA TANZANIA NASI TUSIKIKE SANA ULIMWENGUNI SASA, UBARIKIWE.
mbona comments zangu huzi publish michuzi?tutakukimbia studio kama una ubaguzi!
ReplyDeleteHAaaaaa haa anony wa 9;02 unaniua na Richmonduli haaa,michuzi hii blogu yako inanimaliza sana haaaaaa haa
ReplyDeleteHongera sana Dr Migiro I wish you all the best.
ReplyDeletesasa kwa first lady ni kituko utavaaje hivyo li T-shirt kama hilo bwana usituaibishe inabidi utafutiwe Personal trainer.
Alafu mshauri wa mavazi inabidi aachishwe kazi yaani tunahitaji first lady aonekane wa pekee isiwe tabu kumidentifai.
Mama hongera.
ReplyDeleteUkienda UN jitahidi sana kuepuka misimamo binafsi yako ya nchi au bara.Egemea zaidi kwenye masuala ya maamuzi ya pamoja.(Collective stand)ya vikao halali.Kama bado vikao kufanyika waambie press utawaambia baadaye.
Ukiulizwa na waandishi wa habari kule UN kuhusu msimamo binafsi wako au nchi ulioutoa kama waziri wa mambo ya nje wa Tanzania wambie waziri ni waziri na Naibu katibu mkuu ni naibu katibu mkuu ni watu tofauti,ofisi tofauti na wenye misimamo tofauti yenye mazingira tofauti ya utendaji kazi.
Ukiulizwa sababu za kuteuliwa.Jibu kifupi mamlaka zilizonichuja na kuniteua zinajua sababu nzuri za kunichagua na sina sababu ya kurudia ila ninachoweza waambia ni kuwa nitajidi kwa pamoja na wafanyakazi wengine wa UN kuhakisha hatuwaangushi mabilioni ya wakazi wa Dunia katika utendaji wa kazi zetu katika chombo hiki muhimu katika maisha yao.
Maswali mengine ukiona giza Sema tu sijui.Au sina jibu kwa sasa.Uwe makini sharp na mwepesi kujibu.Usinune utawasha moto.Usitukane mtu (be highly composed) hata akuchachafye vipi.Kuna waandishi hawakulelewa na mama zao wamekulia mitaani kutukana mtu kwao nje nje unatakiwa uji-control hasa kwenye press.
Ukiambiwa kuwa unasemaje kuhusu yale wanayosema juu yako.Jibu kirahisi kabisa kuwa wewe kama naibu katibu mkuu huwezi kuzuia watu mabilioni wasiwe na mawazo yao na maneno yao juu yangu yawe mema au mabaya.Na kama naibu katibu mkuu nawajibika zaidi kwa mataifa si mawazo binafsi na agenda binafsi za watu iwe ndani ya UN au nje ya UN.
Jitahidi kuwa very brief kwenye press conference.Ukiona wametulia kidogo ukiwajibu maswali kadhaa ukawaona kama wanatafutiza maswali mapya hivi,Waage. Anza mbio mwanangu.Mwenyezi Mungu katuumbia miguu itusaidie kukimbia tukizidiwa. Waambie una majukumu mengine na ukimbie kabla mvua ya mawe haijakunyeshea.
Nakutakia kila la heri mama.
Koloboi@yahoo.com
HIVI HAKUNA PERSONAL ADVISER AU MSHAURI WA MAVAZI YA FIRST LADY? AAAH! HILO LI T-SHIRT. NA UNENE, JAMANI WASHARUI MPO WAPI???
ReplyDeleteHONGERA ASHAROSE MTENGETI. TUNATUMAINI UNATUSAIDIA TANZANIA, KAZI KWAKO SASA, KAZI SIO KUCHAGULIWA, KAZI NI UTENDAJI WAKO WAKAZI, KILA JICHO LA MTANZANIA LIKI KWAKO SASA MAMA, USITUANGUSHE.
Habari zenu nyote mliotoa maoni. Naona kwenye maoni kuna maswali juu yangu. Kwanza, jina langu ni Twalane. Waandishi wa habari wamechemka kidogo. Kiswahili kinapanda freshi tu...Ahsanteni nyote kwa pongezi zenu, na mimi najiunga nanyi kumpongeza mama yangu mpendwa, kwani ni sehemu kubwa aliyoifikia.Mungu amjalie kwenye kutuwakilisha na juu ya yote, kufanya kazi yake vema awezavyo.
ReplyDelete