
wiki hii nimepata bahati ya kutembelewa na bill mushi na wanawe richard (shoto) na mike, familia ambayo imejikita kiaina kwenye mambo ya mtandao pengine kuliko familia yoyote na kujitengenezea jina sana hapa bongo na nje. cheki hapa mambo wanayofanya ujue naongea nini...
Hivi hiki kishati ndo kinaonekana kwenye picha ya utambulisho wako katika blog? au unayo mengi? Au nikale kale hakajaisha? Hongera unatunza nguo zako vizuri Michuzi.
ReplyDeleteMichuzi hiyo suti yako ni kauka ni kuvae nini??? Manake hata picha yako ktk blogu yako umevaa hiyo hiyo....
ReplyDeleteNoma Mkubwa!!!!....
Willy Mushi unajitahidi sana Babu yangu kutoka Blomberg sasa hivi na bongo unapiga ishu kama Kawa?
ReplyDeleteBraza Willy Mushi kumbe hawa ni watoto wako sisi tunawaona kwenye mitandao tunafikiri ni majambazi.Kweli bro umejipanga,vya bloomberg umevipeleka bongo pia?
ReplyDeleteWacheni ushamba nyie, jadilini mada iliyowekwa kwenye picha. Suala la nguo halina maana hapa. Kila siku mnamuona Michuzi akibadili suti. Kwa hiyo msimpangie cha kuvaa. Inaonyesha nyinyi ni limbukeni halafu ni washamba mnaomjaji mtu kwa kuvaa kwake.
ReplyDeletembona wanaonyesha sura za kijambazi na hizo kofia,au ndio walinzi wa kule mbugani serengeti.
ReplyDeleteKAUKA IKUVAE..."THIS IS MY FAVOURATE SHIRT.."
ReplyDeleteAkili ni nywele, kila mtu ana zake. Mbona hawa wote hawana nywele? MICHUZi sijawahi ona umeminya comments zangu, inawezekana huwa nakukuna haswa. Bravo.
ReplyDeleteJamani hilo shati ndio hilo hilo, kwamba analipenda tu. Bongo mambo ya kaunda suti si mnajua? Sabuni nayo bei ya ghali.
ReplyDeleteKUNA UHUSIANO GANI KATI YA HAWA KINA MUSHI NA DOMAIN NAME asharosemigiro.com? NOMBA UFAFANUZI KWASABABU MAJINA NI YALEYALE NA HATA MTANDAO WA www.hotscom.com UMEJIRUDIA HAPA TENA PAMOJA NA TANGAZO LA hotscom technologies. MICHUZI NA WADAU WENGINE NAOMBA MAELEZO YA KUTOSHA,ISIJE IKAWA TUNAWASIFIA WATU WANAOJIHUSISHA NA CYBERSQUATTING AU DOMAIN NAME PIRACY.
ReplyDeleteJ.J
Mr. Mushi, why did you register anna rose migiro's. You headquarters as you claim to be in New York is a tiny one room on top of the Apollo theatre and you sell illegal, bootleg tapes and that is it. Tafadhali muache utapelli trying to look big. Your tiny room is not in downtown Manhattan. Your wife is there selling bootleg chinese ... tapes. Lets be real na kuacha utapelli. I hope the UN gets you for misleading us.
ReplyDeleteMushi, you don't have an office in Mid town Manhattan. You have a room above the Apollo theatre handled by your wife in Harlem, New York. Kazi yako hapa New York ni kuuza bootleg videos, CD's etc. Your headquartes may be in Tanzania. Do not try and make yourself bigger than you are. Wewe ni machinga. You registered Rose Migiro's web address - Do you think she is going to buy it from you? Please acha utapelli wa aina hii. Ni aibu kwa Watanzania & Afrika in General. Are you trying to be like the Nigerians???
ReplyDeleteKumbe huyu mtoto alivyo post profile yake kwenye blog yako mwaka jana alikua antudanganya. Kila kitu alionyesha kuwa ni yeye anafanya as a hobby sasa hivi ni baba na watoto hata hatuelelwi lipi ni lipi. Nilimwandikia email ile anipe web hosting details kwa vile I was real looking for one in TZ. Hakunijibu kabisa nikajua feki tu.... Sasa hivi tene unatuletea hii na kutu link kwenye hii site tena. Michuzi unajua unavo advertise vitu huku wengine tunakua serious lakini sometimes it is just wastage of our time.
ReplyDeleteNa legitimate business inakua registered. Hii sijui hata iko bongo au US hata SSL ime expire. Sasa hapa I guess biashara it is on my own risk.
Hivi huyu mtoto si yule ulimweka kwenye blog yako mwaka jana? Profile yake ikasema anfanya mambo mengi yote kama hobby yake. Tulimsifia sana tukizania kijana mdogo tu huyu atafika mbali sana. Kumbe ilikua biashara ya baba.
ReplyDeleteMichuzi unajua tunasoma sana blog yako na tunaitrust kama NY times or people magazine vile. Lakini ukishaanza kuweka habari zisizomatch tutazania hii ni tabloit tu....Make sure unachopromote huku ni kweli. Otherwise utao na watu wantuma comment za hasira wengine wakazania ni wifu kumbe wanaojua ukweli hawafurahii kudanganywa kabisa.
Halafu nilim contact huyu kumuulizia kuhusu web hosting service kwa vile I real needed at that time and I didn't know where to start. Hata hakurudisha jibu kwa maswali niliyokua namuulizia. Sijui yalikua juu ya uwezo wake? Nikajua huyu fake tuu.
Halafu sasa nikienda kwenye hii site naona hata SSL yake imeexpire. sasa sijui nikitaka kufanya naye biashara nitatumia payment method gani? Kwa vile sitam trust kabisa na my credit card with the expired security.
Anazania kuweka picha za raisi up infront ndio tutakua na imani na hii biashara???
Hili shati analo toka yuko sekondari, na wala bado halionyeshi dalili za kuchakaa, linafaa sana kwa watu wachumi
ReplyDeleteBABU SHATI UNABADILISHA ILO.KILA SIKU UNARUDIA NGOMA ILE ILE
ReplyDeleteJamani! Wacheni kumsakama bwana Willy Mushi kwa kumwita tepeli au maneno mengine yasiyo na mpano. Ni mtu mmoja mtulivu, mfanyabiashara wa kweli na anaheshima sana.
ReplyDeleteWatoto wake pia sio wanalazimishwa, nilikaa chini nikaongea nao na ninafanya biashara nao vizuri sana mambo haya wanayafanya vizuri sana! Tembeleeni website yao oneni website walizotengeneza mjue kweli kwamba wanafanya kazi moto moto katika mtandao wa internet.
Kuhusu hilo la Asharosemigiro.com mimi naona wamefanya la maana sana.. hata mama Migiro anatakiwa kuwapongeza kwa walilo lifanya. Why?
Tukiangalia kwamba mataifa ya nje mengi bado hawajamuapreciate mama Migiro kwa uteuzi wake , sasa kama hayo majina hayajaregistiwa sasa tungekuta link au picha za mambo machafu sana , au matangazo ya google mtu kubenefit adsense, au kitu chochote kibaya kumchafulia mama Migiro lakini kitu bwana Mushi kafanya karegister na kuweka biography, picha na news za mama Migiro na pia nimefurahishwa walivyoweka mambo ya kuinvest Tanzania anawavutia wanaosoma hapo (duh!). Ni jambo la maana kwa mtu anayeelewa mambo haya ataelewa sana
Kuhusu kazi yake huko NY, nilivyoka na Mushi kanieleza historia yake hapo, ujue ukweli na kamwachia kazi mke wake nadhani akawaelemishe watoto wake huko Africa,na pia hawa walinionyesha ofisi zao za hapa Arusha kwenye picha si mchezo wanakila kitu. Walinifundisha mambo mengine kupitia internet hata nilikuwa siyajui mpaka leo najivunia kuwa nao kwa waliyonifundisha na waliniahidi mwaka huu watatoa wonders kwenye internet, kila mtu anatenda makosa jamani kwahiyo siyo jambo la kuwasema vibaya hawa Hotscom Technologies website yao www.hotscom.com.
Amejaliwa vijana wazuri, watulivu na waelewa pia kwa msaada ya baba yao wanafanya vizuri tena nasikia wamesoma nyumbani Internt na masomo ya shule jamani kama siyo super genius ni nini hiyo???, hawa ndiyo wataendeleza na kuleta development Tanzania kutumia mitandao mtashuhudia wenyewe .
Kwahiyo wale ambao wanaona wanfanya vibaya 'wanyameze'na waache wivu wa kijinga. Hizo kofia zao kwa wale wanasema walinzi au ni majambazi wafunge midomo yao kwasababu hawana hizo! kwasababu kofia za kijeshi hizo hehe! wanaenda kijeshi jeshi!!
Kitu nawaaambia hawa vijana Mike na Richard (kama sijakosea) na mzazi wao kwamba wakazanie na kazi yao.. na maendeleo watayaona baadaye. ni kawaida kuwa na maneno au vitu kama hivi katika biashara. Michuzi kaka hongera sana kukutana nao. hao ukiongea nao lazima mtakuja na idea mpya na mnacommunicate na kufanya kazi wanajua biashara kweli kweli.
Aliyesema ameona blog sijui ya nani mwaka jana. embu nipe link?? Kwasababu najua huko atakuwa ameeleza kidogo kuhusu technology!.
Unafurahisha ukisema "pengine kuliko familia yoyote na kujitengenezea jina sana hapa bongo na nje" Je umeona familia nyinginezo? Hacha kufagilia watu ovyo!
ReplyDeletekwa wanablog hii mimi ninafanya biashara na kampuni ya HOTSCOM TECHNOLOGIES nimejifunza mengi kutoka kwa vijana hawa nimetengenezewa website na nimepeleka wateja watatu na wote wamefurahiya kazi za vijana hao na mwenye kampuni siyo MUSHI ni bwana mdogo MIKE na RICHIE wanablog tusichafuliane sisi sote ni watanzania tuna bagaiza MUSHI hafanyi kazi za IT yeye ni mkulima watoto wake ndiyo wanafanya hizo kazi baba yao ana wapromote tu na kuwaruhusi wafanyekazi tofauti ni watoto wabunifu pia wanajifunza kama kunamakosa yaliyo jitokeza niwatoto siyokama wanajua kila kitu siyo vizuri kumrukia mtu na nakuongea mambo binafsi,tupeyane moyo mushi hausiki na kazi za watoto yeye anatoa pesa na kuwaruhusu watumie credit card zake basi anawaamini watoto wake hawa watoto wana wafanyakazi 11 kwenye kampuni yao ukifika ofisini kwa utapapenda unaona hiyo nyumba hapo kwenye picha niya mushi tuma mtu arusha atakuambia wanajitaidi wageni wamechikuwa kila kitu wacha wazawa nao wafanyekazi usiwakatishe tamaa karibu bongo uone wageni wanavyo vyuta raha huyu bwana mushi karudi nyumbani anajari huwa yeye anajiita mmachinga ujakosea tupeyane moyo ndugu yangu anawatoto wanao jitaidi unataka wawehaindi na wazungu tu angalia www.kikweteshein.com ni yahao watoto serikali inawapenda sana waliwasaidia sana wakati wa uchaguzi tupendane wewe unakaa nje unajua sisi tuko nyuma sana naomba umpigie mike au richie nambaya simu 0255 784 989816 au email.filgga@gmail.com uwasaidie kama wamekosea ni watoto wanajifunza asante ndgu yangu na ubarikiwe
ReplyDeletejamani hauna hata huruma na kuwasaidia hao watoto kile kidogo wanachokifanya unawakatisha tamaa au upendi kuona watoto wakibongo nao wakishika keyboard saidieni watoto haswa wewe ulioko huko majuu waambie nini chaku fanya watakusikiliza sana na kukupenda hawa watoto wanajifunza kama watoto wengine ninaomba wakikosea muwarekebishe alafu wako bongo hakuna vitu kama huko majuu
ReplyDeletewaTZ wangelikuwa watoto wakizungu wao ni sawa wakowalio tengeneza virus wao hakuna maneno sasa hivi vichanga simvisuport huu ni utundu wa watoto wanatumia information za baba yake na baba yake simjanja kwenye computer wapigeni tafu vijana wetu msiwaponde
ReplyDeletemabibi na mabwana sijafurahisha jinsi watanzania tunavyokatishana tamaa mpaka kwa watoto hao watoto nindio wataalamu wetu huku bongo wenye umri mdogo mzee mushi anajitaidi sana na hao vijana srrikali inawajua na watanzania wengi wana wafahamu wamekuwa kwenye vipindi vya TV ,raidio ,
ReplyDeletemagazeti na semina tofauti wakifundisha computer sasa kusema hii ni biashara ya baba yao ni
uwongo mimi nina wafamu nimewaandikia makala nyingi tu kuhusu wana kifanya wanajitahidi
sana na wanaitaji pongezi kwa umri wao na baba yao kuwasaidia moja ya kazi walizo fanya kwa heshima ya
nchi yetu ni mtandao wa kikwete www.kikweteshein.com chini kabisa ni kampuni ya hao madogo power by hotscom technologies ndiyo waliyo tengeneza huo mtandao wanajitaidi sana pia wanatusaidia sana tunapokuwa tuna
sumbuliwa na computer zetu siwasifi muheshimiwa R.MENGI na RAIS KIKWETE wamewahaadi kuwasaidia kwa kipaji walichonacho nasisi wengine tuwasaidie asante
kweli wabongo tuna kazi hamnahuruma hata kwa watoto mnawaita watoto majambazi heeeee comonnnn
ReplyDeletemushi umefanya vizuri kurejista hayo majina sisi tunajua wewe ni mwanamtandao katika mambo IT na computers na nimshauri wa JK hii uliambiwa ufanye hivyo wewe sindiyo ulishauri wabunge na mawaziri kuhusu njia ya kupinga hile filamu ya mapanki tulikuona bungeni wewe na mtoto wako Mike unawaelezea wabunge jinsi ambavyo mnaweza kupinga hiyo filamu ya mapanki Mushi mambo yako makubwa unafanya kazi za serikali sisi tunaona WANATEKINOLOJIA angalieni ninani aliye rejista haya majina www.darwin's nightmare.net alafu .org, .eu, .tv, .web, .co.tz, na mengine mengi utakuta yanafanana na ile ya Asha Rose Migiro huyu Mushi na watoto wake wajanja wanajua wanachokifanya hii ni habari ndogo tu ,,,,,,,........
ReplyDeleteananzisha ISP,na
afrika portal
hawa ndiyo kazi zao wahaendi kichwa kichwa .
MAMBO YAO MAKUBWA.......
Acheni wivu wa kijinga kama mlivyohabarishwa na Rais wetu wa awamu ya tatu .....!
ReplyDeletejambo wanablog kuhusu hawa watoto tuwasaidie wanatekinolojia wetu tuwasaidi jamani tuwache wivu kama hawa wasipo azasasa hivi nani afanye tembelea www.hotscom.com uone kazi zao madogo wanatesa bongo na IT
ReplyDeleteBwaba Mushi tunakuona BLOOMBERG,NASDAQ,NYSE, WALL STREET kama DAY TRADER wafundishe wabongo basi usiwemchoyo siunajua hiyo ya DAR STOCK EXCHANGE ni changa pambana wewe ndiye unajua unachokifanya umerudi bongo mapema bro.
ReplyDelete