
toka shoto ni abdallah mwaipaya mtangazaji mahiri wa redio wani, prodyuza ali baucha, mie na bitebo. hapo ndo pyeee nashuka toka ughaibuni na kuripoti moja kwa moja lango la jiji kuliwa kichwa kwa bitebo (kama aliyotabiri mdau fulani huko nyuma) ...ama hakika jamani bongo kutamu. hamna nini wala nini... na kama noma na iwe noma - acha niseme!! bongo kutamu...
si mchezo
Michuzi hiyo saluni ni kwa ajili ya waandishi wa habari au wana CCM?
ReplyDeleteKweli bongo ni shwari.
bongo kuzuri bana kama una hela,nimekuja kutembea mwezi mmoja ulopita. Kuna watu wanazo na maisha ni safi kwao.Tatizo asilimia kubwa ya watu hakieleweki, inatia huruma kuona mama ntilie bado wanategemea kuishi kwa mtaji usozidi dola 5 au 10. Tena huyo ndo angalau anashughuli ya kufanya. ....sasa sijui huko vijijini hali ikoje. MICHUZI gombea ubunge ubadilishe maisha ya watu bana. Serikali inabidi itoe elimu ya bure, inawekana vipi mchuuzi pale soko la mtaani au mtu anaye tegemea kuunza vitumbua asubuhi kisha samaki wa kukaanga jioni akaweza kusomesha watoto? tunashangaa nini umaskini unaongezeka, mnafukuza wapiga debe , wapeni elimu basiii!?!
ReplyDeletemichuzi michuzi !!! kukanyaga bongo tayari sura imeishabadilika, ebu cheki pichaa na ile unaondoka ukerewe si ulikuwa umenawiri bwana? RUDI KIWANJA WE ACHANA NA DELI NUZI WANAKUZUGA TU.......nitangulize shukrani kwa kutupa yaliyokuwa yanajili UKEREWE bilashaka utaliendeleza la bongo kutupa kipi kinajiri ndani ya nchi ya JK.............
ReplyDeleteMichuzi ,
ReplyDeleteBongo ni babu kubwa hiyo picha tuu hapo inajieleza ...Jamaa anakula huku hata ajavua nguo yake hiyo ya kukatia nwywele , wakati huo huo mtu mwingine anakatwa nywele. Jamani mbona hatujali kabisa afya zetu.
Bongo babu kubwa kama kiwanja kila siku kama wewe mzee !
ReplyDeleteBongo hakuna utamu wowote ila hapa unatutamanisha ili tuje kufa na njaa.Hivyo ni viwanja vyenu bwana,nyie pigeni magoli sisi huku kwetu mabao yetu yako huku tukija huko hatusomi ramani kabisa zaidi kuishiwa mbaya muno.
ReplyDeleteHuyo jamaa anapakaa chakula kwenye nywele nini! KHAA!
ReplyDeleteharufu ya kwapa na hio mikono si ajabu hajanawa bongo kuzuri kama unaishi ikulu tu not otherwise
ReplyDeleteBongo nzuri kama english is not richabo. Majuu si umeona mwenyewe kiswahili nobody knows. Nadhani hata kuorder ile midoll ulishindwa ukabidi upige nayo tu picha.....
ReplyDeleteBaucha ilikuwa unakipiga sana enzi zako lakini sasa kitambi hicho mpira basi!!
ReplyDeleteHygiene Hygiene Hygiene. Sasa mkataji nywele na sahani ya chakula hapo hapo, ndio maana bongo magonjwa yamezidi halafu mnasingizia ukimwi kumbe ni uchafu wenu wa kutojali afya zenu.
ReplyDeleteMAMBO YA KUTOJALI AFYA, MTU ANAPONYOA LAZIMA KUNA VINYUSI VINARUKA, SASA MWINGINE ANAPOKULA HAPOHAPO INAKUWA LAZIMA ATAVILA NA VINYUSI. MINYWELE MINGINE WATU HAWAOGI SIKU KADHAAA NI UCHAFU. BITOBE ACHA MAMBO YA KIENYEJI...
ReplyDeleteHa ha ha haaaa...
ReplyDeleteUmenikumbusha huyu MWAIPAYA... ANAVYOTANGAZA mpaka namuonea huruma sana
"Tiiimu yaaaah mpiiiraa wa miguuu ya Simmbbbbaaaa!!!" Mmmmh pole sana Mwaipaya...
Jamaa anatangaza fasta kweli kweli.
ReplyDeletewewe anony wa 11:18:41 AM na 9:35:49 PM Mtayamudu vipi maisha ya bongo wakati mmeshazoea kubeba mabox, kulea wazee wasiojiweza(kwa malipo na sio kwa kujitolea) na kusafisha vyoo? The same jobs u used 2 do in ur daily life there here u gonna earn fucken less than $0.5 per day. sasa unafikiri ligwaride la hapa mtaliweza?wakati mlikimbia baada ya kupata lowest division in ur school?nyie huko ndio kunawafaa, hapa mtafariki bureeeeeee kwa mawazo.Ndio maana hawezi kuishi kabisa ndani ya hili jiji,cha maana mnachokifanya ni kukusanya vihela vyenu, mnakuja kutesa wabongo wachache wenye upeo finyu kama nyie kwa wiki kadhaa, Vi$ vinakauka, mnakimbilia huko kunakowawezesha maisha yenu.
ReplyDeleteotherwise, life bongo ni bomba mbaya hasa kwa wenye elimu zao na mitego yao. LIFE TASTE GOOD BRODA....kama una elimu yako, u don hv 2 be afraid kukaa hapa, coz u gonna get wat u deserve broda......
Nyie mnaogopa nywele kwenye chakula? Mbona simba anamla nyati kajaa nywele mwili mzima na hadhuriki, acheni kuwa waoga nyie watoto wa mama
ReplyDeletekwa hiyo wewe hapo ni simba unakula nyati na akina michuzi wanamchekelea simba,grow up vipi ujifananishe na mnyama?
ReplyDeleteanoy 22 jan 8:14 umechemsha ila kwa vile kil amtu ana haki ya kutoa maoni yako kwa hiyo sikulaumu. lakini kwa taarifa yako ni chuo gani huku kitakuruhusu uendelee kama GPA sio above the average especially for international students? Just for the show form 4 nina 1 form 6 nina 1 na still nilikimbia huku. Na huku nilipata scholarships kibao. Kwa taarifa...under graduate almost free na at that time nilikua nasoma kama international student. Master it was all free not from the reason that I was already obtain my legal residency but because my brain is good....
ReplyDeleteLife taste good kama mchezo wa rada kila kona. Ciao
Michuzi naomba umpe Abdallah Mwaipaya email yangu. email ni hii, tunubako@yahoo.com
ReplyDeleteMwambie ni ndugu yake aliye Marekani. Nimepoteza contact zake.
Thanks in advance.
Anoni wa Jan.24, saa 2:30:55 kumbuka kuwa alama za kwenye vyeti si kipimo madhubuti cha uwezo wa kitaaluma wa mtu. Tunafahamu kuwa kwetu hapa wizi wa mitihani na udanganyifu mwingine ni kitu cha kawaida. Hivyo, hatupaswi kuringia daraja la 1. Turingie uwezo. Kukimbilia ughaibuni hakutokani na umaskini, rushwa na ufisadi tu. Utovu wa uzalendo una msukumo mkubwa hapa. Watanzania hatukuzwi kujithamini na kuthamini nchi yetu. Tunakuzwa kujiona na kuiona nchi yetu ni yenye kasoro. Tunafunzwa kwa lugha za kigeni. Watoto wa kike huveshwa mawigi na nywele zao kugeuzwa asili zifanane na za wengine. watoto hawa hukua wakijiona wenye kasoro. Ndiyo maana huishi wakidhamiria kuishi na kutumikia mataifa mengine. Ndiyo maana hawaoni shida kuliibia taifa.
ReplyDeleteMla rushwa ni mtoaji na mpokeaji. Nyie mlio ughaibuni acheni kujifanya mmechoka kufikiri. Hawa ndugu zetu wala rushwa hupewa rushwa na hao mnaowaona ni miungu watu.Nashangaa mnajifanya mnaishi peponi na malaika kumbe ni manyang'au tu.Fungueni macho, mtafakari upya. Tena mipango hii ya ulaji rushwa inawezeshwa na Watanzania wenzetu mnaoishi nao huko huko. Sina hakika km mnaoandika haya si miongoni mwao. Mnahubiri maji huku mkinywa mvinyo!!!
ReplyDelete