Home
Unlabelled
mwenyeji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi usiingie hiyo McD nyuma yako, watakulisha vichafu hao. Wakikwambia bacon egg, and cheese biscuit, waambie waondoe bacon. Bacon ni haramu kwa imani yako. Wewe kuwa mtu wa chicken sandwich, au fish sandwich, au cheeseburger. Usiguse bacon.
ReplyDeleteMagreth Tuu Malekia.Looking good.Umeolewa tayari au nije kutoa posa?I like the look on your face...you look kind of shy and all that.Michuzi ,Michuzi, Michuzi,shauri yako.Ukijua nyuki anakula nini hutaonja hata hiyo asali.Usichokoze watu bwana.Wataangusha bomu sasa hivi.Usije nitafuta,mchanga wa pwani huo>>>>>>>>>>>>>>>>...
ReplyDeletemichuzi hujui kuvaa? unachanganya mavazi suti na koti la kimplini? aibu aibu tupu! unajichora saanaa babu.
ReplyDeletehaa kumbe ni dada nilijua kama kuanzia shingoni mpaka kiunoni mwanaume sura halfway kiuno chini mwanamke
ReplyDeletehee kumbe ni mwanamama huyo..
ReplyDeleteanony 8:50:46,,,huyo atakuwa ameolewa tu maana tayari wameshafanana na mwenzake,whoever,au huoni??hhhhhhhhhh
ReplyDeleteHuyu mtu wenu ni mshamba sana jamani.
ReplyDeletedu baabu hilo jaketi la paundi nane limeshusha hadhi yoooote ya suti bora ungejivalia jinzi na sweta tu kama mwenyeji wako hapo, daaamn!! pamoja na safari zote hizo bado tu!!
ReplyDeleteMichuzi, umesahau kufunga zip
ReplyDeleteNaona leo ndio umechemsha kinoma. Suti na koti lako la saturday market. Babu kuna makoti kwa ajili ya suti iwe mvua au baridi. Ukivaa suti koti la mvua au baridi sharti liwe refu kuliko koti lako la suti na liwe nila vifungo na sio zipu. Yaani ni umechemsha ile chafu kabisaaaaa. hahahhahahahahhahahah
ReplyDeleteNdio maana unaachaga lebo kwenye mkono wa suti wewe. Suti zina protokali zake na kama huzijui ni vizuri kama hutovaa hiyo suti maana utaleta aibu na vicheko kila unapokwenda na hiyo suti yako ya kutungua. Kitu kingine usione mtu kavaa suti ya vifungo vinne basi na wewe ukavaa suti ya staili hiyo. Urefu wako ni kipimo muhimu sana kwenye suti. Kwa urefu wako suti ya vifungo vitatu ingekuwa nzuri kwako. Ukivaa suti shati na tai vinatakiwa vionekane na sio kuchungulia.
Michuzi unaloga, jamaa kulia keshaloga, demu kushoto analoga jamaa alofichwa na kofia ya Chukua Chako Mapema. Mwenyeji wako kapanga uzazi, atajiopen wakati wa summer
ReplyDeleteMichuzi , Margareth Malekia ndio kakupeleka kwenye hayo maduka ya MIDOLI- shauri zako...tunamjua shughuli zake....teteteh!
ReplyDeletekaka leo kasakamwa.
ReplyDelete