miss tz 2005 nancy sumary akishirki katika shoo ya mitindo ya mustafa hassanali kama modo na pia mc. mrembo huyu amesharudi darasani kule nairobi baada ya kipindi chake kumalizika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. kama kipindi chote hicho hujapata NGWENGWE Mungu akubariki na uendelee kuwa msafi hivyo hivyo.

    ReplyDelete
  2. una akiyakulinga wewe ni mmm mzuri mungu hakubariki

    ReplyDelete
  3. u are so precious my dear, god bless you and Hongera saana!!!!!

    ReplyDelete
  4. Umependeza sana, Hongera sana na uanamitindo unakufaa sana. Keep it up

    ReplyDelete
  5. Nancy you are really a model,please keep it up.Tunza heshima yako na usiwe kama mamiss wengine wanavyotutia aibu kwa vitendo vya kujidhalilisha usichana wao.Soma sana.You really deserve to be a miss.

    ReplyDelete
  6. Duuuu!!!!!!!!!!!!!!! jamani mungu ameumba, kama ndio figa yako ipo ivo???????mmmmmmhhhh!!!!!!!!! nadhani dunia hii haipo fair,itabidi nije Nairobi nikuone,kila kheri bibie

    ReplyDelete
  7. Hongera sana Nancy,umependeza na pia congrats nyingi kwa kujiheshimu kipindi chote cha u-miss wako,umekuwa mfano mzuri sio kama WEMA anayeharibu mantiki nzima ya U-MISS,kawa kicheche kama vile kaambiwa ameukwaa sasa anafanya kukomoa watu,utadhani LIUMBA.

    ReplyDelete
  8. ur so sweet, and lovely, keep it up and i wish u all the best in everything.
    stay blessed

    ReplyDelete
  9. Damn,Giirrl!You so hoot...!Uuuuhhh.Stay cute.

    ReplyDelete
  10. Ulituwakilisha vyema kimataifa-kwa hilo tunakushukuru.

    Kwa kina yahe tulioku-mind kutaka kukuoa tunaogopa maji ya mto wako ni marefu.

    Ushauri: Ili uolewe itabidi ukubali kujishusha kidogo.

    ReplyDelete
  11. kweli we mukyuti binti,safi sana,ila angalia wanaume walafi.

    ReplyDelete
  12. Sura imekataa

    ReplyDelete
  13. Nancy, Nancy please usiolewe mpaka nirudi! You are so delicious! am am am

    ReplyDelete
  14. LIUMBA ni nani tena?

    Nakupenda sana Nancy. I love you.... wewe ni mrembo sijui nitakupataje? Any way, by e-mail.

    ReplyDelete
  15. WEYE MICHUZI, NOMA SANA, UMEANZA TENA KUFICHA MAONI YA WADAU WENGINE. HIVI MAANA YA HII BULOGU YAKO UNAIJUA KWELI? MANA WATU WAMELALAMIKA LAKINI BADO.
    KILA BINADAMU ANA MAZURI NA MABAYA PIA. SASA NAONA UNACHAMBUA YALE MAONI MAZURI TU NA KUSIFIWA NDIO UNAYATOA, MENGINE YA KUKOSOLEWA HUTOI, KWANINI? HATA WATU WATAKUONA WEYE FEKI, MAANA SIJUI MAANA YAKO NINI.
    TOA MAONI YOTE BWANA, UNAOGOPA NINI? MANA HAPA BWANA WATU WANAINGIA KUMWAGA UKWELI TU. NA TULIYOYATOA KUHUSU HUYU NANCY NI YA KWELI, WALA HAMNA MATUSI, KWANINI UMEYAFICHA?

    ReplyDelete
  16. whatever the case kuna njemba inamkanyaga hapo mungu ndo alimaliza

    ReplyDelete
  17. KUNA NJEMBA INAMKANYAGA KWELI SIO SIRI, NA HAPA NAONA MICHUZI ANAFICHA MAONI YA UKWELI HAYATOI ANAYAFICHA, NAONA ANACHUJA YALE YAKUFAGILIWA TU NDIO ANAYAPUBLISH. NOMA SANA WEWE MICHUZI. PEOPLE SHOULD BE ALLOWED FREEDOM OF SPEECH CHA MUHIMU SIO KUTUMIA LUGHA CHAFU NA ZA MATUSI. LAA SIVYO MAANA YA KUWA NA BLOG KAMA HII NI NINI?

    ReplyDelete
  18. Dada mzuri na kapendeza lakini wanaume wengi hatupendi fake hair, hata uwe mzuri kiasi gani, ukiweka nywele za bandia hivyo na kujichubua hatupendi. samahani. lakini kuna wanaume wengine ambao hawa-mind. hongera.

    ReplyDelete
  19. Mmmmh, Angalia mibaba inavyo dondosha UDENDA.

    ReplyDelete
  20. uzuri siyo sura dada ni tabia ya mtu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...