mh. basil pesambili mramba (pili shoto) na professa jumanne magembe wakizindua kilaji kipya aina ya 'ndovu' mwanza juzi. shoto ni maneno mbegu, meneja uhusiano taifa wa tbl

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mmh ndovu kiboko ona macho kungu mbali!

    ReplyDelete
  2. Michuzi hapa umechemsha,huyu kulia sio Prof. Magembe,kama sikosei ni mfanyakazi wa TBL,mtake radhi Prof!

    ReplyDelete
  3. Heko TBL kuirejesha Ndovu mtaani... Ila Kwengineko kama Moshi Bia hii Kongwe iliznduliwa bila hishma kama ya Mwanza... Je mmetuonaje??? M-mebore... Pumbaf...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...