kuna mdau kanitumia hii. mie inglishi iz noti richebo kama mnavyojua. nambieni kasema nini...
Boss dia,
I am apply to my job of security guard to you boss in you company of KDDA.
I complete to Sitandad 7 examination certificate in 1997. My skool Kibungut high very good.
I am 27 ears to be Born of age and no waif and no childish. My father is dead long time ago and my mother mary in Swazilandcountry there 10 years now, no see she ,so nobody known to help me.
My certificatei s just sitting home for itself, but passes in Mathematics, Geography, Science and all subjects but fail in English because of Luhya teacherteaching me is jelas of myself. Me wear expenses cloth than Luhyateacher.
I here people you want security guards to your company and I tell youI am one of that job experience for 2 years looking video for Rambo I,II and III. I also shot thief dead. I want to join the company of you andchase criminal out with me AK47.
Please konsida my aplication careful and call me any time ! because me have sellfon. I am red for! interview with you. Oso, I am very hornest and can speak English free.
Please also great your wifes!
Boss dia,
I am apply to my job of security guard to you boss in you company of KDDA.
I complete to Sitandad 7 examination certificate in 1997. My skool Kibungut high very good.
I am 27 ears to be Born of age and no waif and no childish. My father is dead long time ago and my mother mary in Swazilandcountry there 10 years now, no see she ,so nobody known to help me.
My certificatei s just sitting home for itself, but passes in Mathematics, Geography, Science and all subjects but fail in English because of Luhya teacherteaching me is jelas of myself. Me wear expenses cloth than Luhyateacher.
I here people you want security guards to your company and I tell youI am one of that job experience for 2 years looking video for Rambo I,II and III. I also shot thief dead. I want to join the company of you andchase criminal out with me AK47.
Please konsida my aplication careful and call me any time ! because me have sellfon. I am red for! interview with you. Oso, I am very hornest and can speak English free.
Please also great your wifes!


Toba!
ReplyDeleteTUMEKWISHA
ReplyDeleteMPE KAZI HUYU.
ReplyDeleteAMEJITAHIDI SANA. KAMA AMEMALIZA DARASA LA SABA TU SHULE YA MSINGI YA PUBLIC. KWELI ANAHITAJI PONGEZI.
WATU WALIKWENDA KUSOMA NETHERLAND BAADA YA KUMALIZA MLIMANI NASIKIA ILIKUA TABU WAKATI WA KUPRESENT. WALIKUA EH....EH...OFCOURSE....EH....EH....SASA HUYU KAMA ANGEJALIWA KUFIKA HATA FORM FOUR TU NDIO ANGEKUA LEADERS WA KESHO.
thats Good is in!!!miserable honest to be he needs some sort of CPD.
ReplyDeletekusema kweli huyo ni issa michuzi na si mwingine ndiye yeye aliyeandika yote hayo.anyway good joke,tanx Bro.
ReplyDeleteukimpa kazi kaua huyo
ReplyDeleteKAKA JAMAA ALIVYOVUNJAVUNJA HIYO LUGHA HATA KUSOMEKA INAKUWA TAABU,KICHWA KINANIUMA KAKA MICHUZI...TAFADHALI ITOE.
ReplyDeleteNashukuru bwana michuzi kwa kunipa kupata wasaa wa kutoa maoni yangu hapa, kwanza naomba uturuhusu hasa sisi tulio ugaibuni kuweza ku-save miziki mizuri ya enzi hizo kama uliotoa juzi wakati wa habari ya wanaijeria kitu kama makumbele, pia mimi niko hapa glasgow scotland nataka kwa faida ya watanzania wenzangu wafahamu tu kuwa, hata hapa Uk sasa hivi kuna tatizo la ajira mara baada ya kujiunga na EU. Mfano sasa wapolish wanaingia kwa wingi na wanafanya kazi kwa bei ya chini saana kiasi ambacho sasa waingereza na watu wengine waliokuja kutafuta maisha hapa kama mimi tunashida saana.
ReplyDeleteHii imeleta mjadala mkubwa hata kwa wabunge wa hapa, maana sasa jamaa wa poland wanafanya kazi chini ya kiwango kilichopangwa na serikali ya UK. Lakini waajiri wanafurahia kwa maana wanapata nguvu kazi kwa gharama nafuu, maana hawa watu hawalazimishwi na wanasema kwao maisha yako chini saana hivyo hata paundi 1 ni kubwa saana kwao kulipwa kwa saa moja. Sasa hili ni tatizo, waingereza vichwa vinawauma, maana raia wao wanaanza lalamika na hawajui itakuwaje mbele ya safari maana wapolishi wanashuka hapa kila kukicha.
Sasa naomba kuwaasa watanzania wenzangu, wawe makini saana na hii biashara ya kujiunga na wakenya?? Unajua leo hii ni wakenya wangapi wenye vyeti na hawana kazi?? Maana hawa ni kama wanaijeria walivyozagaa ulaya na amerika na vyeti lukuki bila kazi, sasa unategemea nini tukijiunga nao?? Na je, ni watanzania wangapi ambao wanasifa na vyeti wanaweza kushindana na wakenya na waganda?? Kwanza kizungu chetu unakijua mwenyewe kaka michuzi, na wawekezaji tuliowakaribisha TZ bila kunyoosha ung`eng`e hupati kazi!!
tafadhali naomba nisieleweke vibaya kwamba siwapendi wakenya au waganda, ila nadhani kunahaja ya Muungano huu kuangalia nyanja za kuungana isije kuwa kama hapa Scotland sasa au maeneo mengine ya uk.
Mzee niwasilishe maada.
Murimo
Huyo mtu anakuzuga tuu!!
ReplyDeleteHuyo mtu anakusanifu
ReplyDeletehahahahahhhh. please call 911 mbavu zangu zinauma. Michuzi Blog Yako ni kiboko. Keep up the good work. haha.
ReplyDelete:-)
ReplyDeleteama kweli tumekwisha!!! Mwalimu ametuweza hapo tu ametupata na kutuachia balaa hilooo.
ReplyDeleteMichuzi mjomba mbona unachemsha siku hizi? Blogu toka kuwa ya kimataifa mpaka kuanguka hivi! Siku hizi hauweki vitu vya maana, unachelewa kua update yaani karaha tupu. Mjomba si twaitegemea hii blogu usituangushe mjomba. Usiweke vitu kama hivyi ni kujitoa thamani na kutuaibisha sisi.
ReplyDeleteMjomba huu ni ushauri tu ukitaka chukua usipotaka endelea na mambo yako mwisho wako utauona. Mjengwa kila siku anapata wafuasi wewe una lala dolo. Kwaeli mjomba.
Michuzi upo msibani (Mzee Akukweti??) ama?? mbona kimya??? Nadhani anza kuweka Sexetary opps Secretary awe anapost picture na ku-update comments duh this is too much>>> Fikiria inanibidi nilipe 500Tsh Mia tano Tsh. ktk Internet na sasa ni mara ya 7 nakuta yaleyale yanayoboa ...fowardings za kwenye mail...p'se inaskitisha..
ReplyDeletePole kwa msiba poleni Mama Awetu na Mama Esther na watoto tisa.. poleni TZ,Poleni nyumba ndogo etc.
Michuzi hii kali tena ya mwaka...kwanza nikushukuru kwa vitu kama hivi, hawa wanaosema barua hii haitaki hapa sijuhi wanajua maana ya neno 'blog'...anyway huyu jamaa kadhalilisha walinzi maana hii barua nimesoma nimebaki mbavu tupu......hii inanikumbusha mambo mengi...kwa wale walio ughaibuni nafikiri jaribu kudadisi siku ulipoingia hapo english ilikuwaje tofauti na sasa...kwa international student wajua naongea nini ahaha...maana presentation au kuandika research paper ilikuwa taabu kweli...
ReplyDeleteTENA HII INA MADA NZURI KUZUNGUMZIA, JE WATANZANIA TUBAKI NA KISWAHILI CHETU AU KIINGEREZA KIPEWE UMUHIMU ZAIDI?
Nawakilisha baba,
Mnshangaa nini? Watu wamefundishwa inglishi na watu wasiojua English, asante Nyerere aliyefuta English masheuleni Tanzania ingawa alikuwa anaonegea Queen's English!
ReplyDeleteHicho kiingereza si cha darasa la saba ni cha mtu aliyemaliza kidato cha nne kwenye sekondari za kiislamu zinazomilikiwa na BAKWATA (BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA.
ReplyDeleteKama kuna mtu anabisha aende kwenye hizo shule au ajaribu kuongea na wanafunzi wa kidato cha nne kwenye hizo shule atajua ninachoongea ni kweli tupu.