wanachama wa vyama sita vya upinzani wakiandamana dhidi ya rada leo dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

 1. jk anweza kweli kumtoa lowassa??? mana si mshkaji wake au??

  ReplyDelete
 2. RADA NDIO NINI JAMANI?

  ReplyDelete
 3. Lowasa kakosa nini? Ninyi hampendi mtu mchapakazi au mmezoea yale mambo ya kubembelezwa ndipo mfanye kazi? Kasi mpya inawataka watu kama Lowasa, otherwise you'll continue suffering! If you want him removed, vivid reason.

  ReplyDelete
 4. waache wale wamalize nchi..si nyie mnawendekeza kwa kuwasagia wanaokuwa waaminifu

  ReplyDelete
 5. Anonymous wa January 21,2007 5:42:03 PM. Hivi unadiriki kusema kweli Lowassa anafanya kazi?? au kwa kuwa anaweza kupiga tu kelele za kuwatishia watu ndo unaona anafanya kazi? think twice my dear; kumbuka tu kuwa, Tanzania hatuna viongozi, hata wa awami hii hawana tofauti na baba zao walipita, afterall ndio wale wale; nao si walikuwa kwenye serikali zilizopita!..jioni / usiku mwema ndugu

  ReplyDelete
 6. Tuacheni ushabiki wabongo, kama kuna mtu anamsaidia JK kwenye serikali hii, ni huyo jamaa peke yake, wengine wamesusa, na wanashangilia mambo yanavyoharibika.. Inatia huruma sana kuona ushabiki wa mabango kama hayo.. Watu wanakesha kumtafutia dhambi, lakini mwisho wa siku kila mtanzania akikaa mwenyewe anahesabu mambo lukuki ambayo jamaa amefanya kwa tanzania kama nchi au wazawa mmoja mmoja kwa kipindi chake serikalini.. Mungu Ibariki Tanzania.

  ReplyDelete
 7. Hebu jikumbusheni madudu aliyoyafanya wakati alipokuwa waziri wa ardhi kipindi cha mzee RUKSA

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...