Home
Unlabelled
radaz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jk anweza kweli kumtoa lowassa??? mana si mshkaji wake au??
ReplyDeleteRADA NDIO NINI JAMANI?
ReplyDeleteLowasa kakosa nini? Ninyi hampendi mtu mchapakazi au mmezoea yale mambo ya kubembelezwa ndipo mfanye kazi? Kasi mpya inawataka watu kama Lowasa, otherwise you'll continue suffering! If you want him removed, vivid reason.
ReplyDeletewaache wale wamalize nchi..si nyie mnawendekeza kwa kuwasagia wanaokuwa waaminifu
ReplyDeleteAnonymous wa January 21,2007 5:42:03 PM. Hivi unadiriki kusema kweli Lowassa anafanya kazi?? au kwa kuwa anaweza kupiga tu kelele za kuwatishia watu ndo unaona anafanya kazi? think twice my dear; kumbuka tu kuwa, Tanzania hatuna viongozi, hata wa awami hii hawana tofauti na baba zao walipita, afterall ndio wale wale; nao si walikuwa kwenye serikali zilizopita!..jioni / usiku mwema ndugu
ReplyDeleteTuacheni ushabiki wabongo, kama kuna mtu anamsaidia JK kwenye serikali hii, ni huyo jamaa peke yake, wengine wamesusa, na wanashangilia mambo yanavyoharibika.. Inatia huruma sana kuona ushabiki wa mabango kama hayo.. Watu wanakesha kumtafutia dhambi, lakini mwisho wa siku kila mtanzania akikaa mwenyewe anahesabu mambo lukuki ambayo jamaa amefanya kwa tanzania kama nchi au wazawa mmoja mmoja kwa kipindi chake serikalini.. Mungu Ibariki Tanzania.
ReplyDeleteHebu jikumbusheni madudu aliyoyafanya wakati alipokuwa waziri wa ardhi kipindi cha mzee RUKSA
ReplyDelete