
enyi wadau mlio ughaibuni... jengo lipi hili?
kama kawaida mstari mfu ni usiku wa manane ijumaa na mshindi atapata zawadi ya picha aitakayo.
masharti:
1. lazima uwe unaishi ughaibuni
2. kudesa hairuhusiwi
3. jibu swali kama lilivyo (usitie ufundi)
4. endapo washindi zaidi ya mmoja watatoka droo, kura itapigwa na wadau kwa siku mbili
5. zawadi atakayodai mshindi kama haitopatikana (sidhani) itabidi akubali itayofanana-fanana nayo
6. uamuzi wa jopo la majaji ni wa mwisho
7. rufaa itasikilizwa pale palipo na utata wa matokeo
mzee michuzi....
ReplyDeletehapo ni makao makuuu ya shirika la umeme tanzania(Tanesco) pale dar' mkabala na british councel.....
by haki-hakingowi.blogspot.com
hapo ni Tanesco mtaa samora
ReplyDeleteMzee Michuzi hapo ni makao makuu ya wizara ya nishati na madini Sokoine drive karibu na posta office ya zamani au karibu na kanisa la Azania front
ReplyDeleteHili ni jengo ndio makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini, Tanzania.
ReplyDeleteTizo
Mzee michuzi hapa ni wizarani,mkwepu street na sokoine dr. karibu na shule ya sekondari forodhani.
ReplyDeleteHapo ni Sokoine Drive
ReplyDeleteZamani -Jengo la wizara ya madini na Nishati, mkabala na Bandari
haki umetoka juzi tu huku, ushasahau hivyo jamani hapo sio tanesco. msalimie sheria.
ReplyDeleteby nanyika
Sio siri mimi ndo MSHINDI.
ReplyDeleteHapo ni karibu kabisa na British Council, zamani yalikuwa makao makuu ya TANESCO na siku hizi ndo ofisi za wizara ya Nishati na Madini, na jengo la kushoto kwake chini ni ofisi ya TANESCO Ilala. Makao makuu ya Nishati na Madini yalihamishiwa hapo kupisha zile ofisi za Sokoine drive ambazo zimechukuliwa na Ofisi ya Makamu wa Raisi.
Nimeshinda. Revd. EVM
email revdevm@yahoo.co.uk
Karibu na posta ya zamani, au jirani na Forodhani Sec school
ReplyDeletemzee michuzi hapo ni jirani na posta kwa mbele yake ni bahari
ReplyDeletethanks HAKIM
wizara ya nishati na madini opp posta ya zamani
ReplyDeleteHilo ni Jengo lililokuwa Makao Mkuu ya Tanesco,(Barabara ya Samora)hapo mbele kulikuwa na Generator kubwa sijui kama siku hizi imetolewa
ReplyDeleteHapa ni Bangladesh
ReplyDeleteWizara ya nishati na madini jengo liko mkabala na pale feri (bahari ya hindi).
ReplyDeleteJengo hilo ni la Wizara ya Nishati na Madini ambalo lipo Barabara ya Samora karibu linatizamana na Stears ya Barabara ya Samora Wizara hiyo imehamishiwa hapo kutoka kule Posta ya Zamani ambako Ofisi za Waziri Mkuu zimehamia sasa. /Mbongo
ReplyDeleteWaliosema kwamba ni jengo la TANESCO la zamani wamepatia. Nadhani hiyo Wizara imehamishiwa hapo kutoka katika lile jengo refu mkabala na shule ya sekondari ya Forodhani.
ReplyDeleteMakao makuu ya TANESCO yamehamishiwa Ubungo.
Michuzi wape zawadi zao waliopatia.
HAPO NI NYUMBANI KWA MICHUZI.
ReplyDelete