siku ile mwaka 1995 kule chimwaga ambapo jk alikubali matokeo baada ya kura za wajumbe wa mkutano mkuu kwenye raundi ya mwisho kutotosha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Picha hii imenifurahisha sana,coz after ten years hawa waliachiana Urais pia,TZ tunafanya siasa za kiungwana sana. Ben alifanya mambo mengi mazuri na ninaamina JK naye atafanya makubwa zaidi

    ReplyDelete
  2. Labda..... Tunahitaji mabadiliko na maamuzi ya kweli siyo sifa za magazetini

    ReplyDelete
  3. Misoup!,
    umepigwa ki-MEMO nini???...

    Mbona Issue ya Mahalu umeitoa ghafla bila ya taarifa maalum wala maelezo kwa wadau wako!.

    Misoup inabidi ueleze ni nini hasa kimekufanya utoe hewani hiyo nyuzi!.

    ReplyDelete
  4. Tuna imana kuwa kesi ya Balozi Prof. Mahalu na wenzake itafuata taratibu zote ili wahusika wapewe azabu kali ipasavyo

    ReplyDelete
  5. Mzee wa mada uliyoyasema kuhusu Ben yametoka moyoni kweli?????

    ReplyDelete
  6. yap,its true,tena kwenye sakafu ya moyo,scandals will be there always,in any country,think about Bush,Tony etc,lets take in general the situation BM aliyoikuta na jinsi alivyoiacha nchi,believe me kama JK angekuta hazina+ TRA tupu(situation aliyoikuta BM) kwenye ukame,njaa and power crisis nchi hii ingekuwa pabaya sana!

    ReplyDelete
  7. sawa mzee wa mada, naona wewe mwana sisiemu damu!!!!!!! Vipi na ishu ya rada???

    ReplyDelete
  8. NYIE HEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. 0 distance!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. Hivi kama sio nyerere kumwambia JK asubiri bado mdogo,ingekuwaje!!!!!!!!! make angemaliza Urais akiwa mdogo sana!!! Harafu......?????????
    Zidumu fikra za MareheMu Baba Wa Taifa

    ReplyDelete
  11. we anony wa hapo juu (26/01/07; 12:42 pm), unaposema " kama sio nyerere kumwambia jk asubiri, bado mdogo..." ulikuwepo wakati anamwambia maneno hayo? au ndo huo uwongo wa vijiweni na maskani ambao mtu anaelezea yaliyotokea ikulu na kuongelewa na rais na waziri mkuu, wakati hata geti la ikulu hajui liko upande upi na hiyo ikulu hata hajui ilipo.
    hebu tuondolee uwongo wako hapa, kawadanganye hukohuko...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...