Home
Unlabelled
teweli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI, DU NAKUSHUKURU SANA.
ReplyDeleteHivi hii picha imechukuliwa Iringa wilaya ipi? Maana chai kuna Mufindi na Njombe. Umenikumbusha maisha yangu kipindi fulani baada ya kumaliza high school. Nimefanya mashamba ya chai sana kazi karibu zote isipokuwa kuchuma. Hao wachumaji wanapewa makande kibakuli kimoja kila siku ili wachume zaidi. Halafu msimamizi akijisikia vibaya tu, anaweza kumkata kilo mchumaji kwa madai ni chai chafu nk. Hiyo miti inayozunguka chai inaitwa 'Mihekia'. Nimeichimbua hadi mizizi kama kibarua, nimepakia katika trekta vigogo vya kukaushia chai, nimechimba mashimo ya kupanda hizo chai nk.
Lakini hao vibarua ni masikini na watabaki masikini sababu mfumo wa hapo ni wa unyonyaji mno! Ndio maana nikifikiria juu ya serikali yetu huwa sina imani sana. Kwanza sijui kama wanaju hali halisi ya mahali huko!
Nyapara wa mashamba hayo ni darasa la 4 ya zamani, na anasimamia hata form 6 leavers. Hata nyapara mdogo tu anapewa shikamoo maeneo hayo. Usikie tu shida ha huko mahali. Lakini yalikuwa mapito tu kwangu kwani hapa sasa nipo mamtoni. Ni bahati tu si mjanja kuliko wanaoendelea kunyonywa hapo....
Hayo ni mashamba ya chai katika wilaya ya Njombe yanayoendeshwa na kampuni ya waingereza. Tuma email yako nitakufahamisha vizuri nimeishi huko
ReplyDeleteJamani kwanza nawaomba samahani kwa kuwa nje ya hoja.Nadhani mmesikia matokeo ya mpira wa miguu kati ya Arsenal na Manutd. Pamoja na Man kubebwa,hiyo haikuwa dawa kwani kichapo kiliwaandama kutoka kwa The Gunners.Keep it up the Gunners.
ReplyDeletePamoja na uzuri wote wa hilo shamba inakuwa haina maana kama wafanyakazi hususani wazawa wananyanyasika kwa kulipwa ujira mdogo.Kwa ujumla inabidi serikali iangalie upya kima cha chini cha mishahara kwa wafanyakazi wote ili kuinusuru heshima ya MTANZANIA ndani ya Tanzania.
ReplyDeletePamoja na uzuri wote wa hilo shamba inakuwa haina maana kama wafanyakazi hususani wazawa wananyanyasika kwa kulipwa ujira mdogo.Kwa ujumla inabidi serikali iangalie upya kima cha chini cha mishahara kwa wafanyakazi wote ili kuinusuru heshima ya MTANZANIA ndani ya Tanzania.
ReplyDelete