e
naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa d. asha rose migiro akiwa na mumewe profesa cleophas migiro kwenye hafla. nabandika picha hii kuusindikiza ujumbe huo hapo chini uliojaa utata...

A website about the new Deputy Secretary General was launched yesterday, but any connection between the site and Dr. Migiro is uncertain at best.

The site was registered to a Mr. William Mushi. Googling Mr. Mushi's email address brings up some questionable Tanzania-related sites, most of which appear to be offering business or investment opportunities in the country.

The site itself is registered under a business unrelated to the United Nations, Videos and Games, in New York.

The design and content is very basic, and there are a number of misspellings and grammatical errors. The guestbook is also malfunctioning, as entries are not posted.

I have emailed Mr. Mushi and UN officials regarding the site, and will update readers when I receive a response. For the moment, it would be best to assume the site is not authorized by the Deputy Secretary General or by the United Nations.

Dr. Migiro, who's appointment was only announced Friday, is not expected to arrive in New York until late this week at the earliest.

Check it out and lets have your say

http://www.asharosemigiro.com/

United Nations Website
http://www.unsg.org/wordpress/archives/186
e

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. He...he...he...he....KILA MTU ATAJIFANYA ANAIFAHAMU HII FAMILIA SASA...."KNOW ME WHEN I AM POOR....NOT WHEN I AM RICH.....EH EH EH

    NA HUYO MANGI ANAYEJIFANYA KU PUBLISH MAMBO YA DR.MIGIRO SASA HIVI. TENA ANAISHI NY CITY???? HAJIPENDI KABISA.... ANGEFUNGUA AKIWA KULE MNDENYI AMBAKO NI UNTRACKABLE......HAKAWII KUFUNGULIWA LAW SUIT. NA FEE YA LAWYER TENA ........TOBA.....

    YOU CAN'T BELIEVE I WAS GOOGELING ABOUT THIS NEWS NA HIYO WEBSITE IKAJA TALKING ABOUT A FIRST PHONE CALL..... KUMBE HATA HANA UHUSIANO LAKINI INAELEKEA ANAJUA MENGI......

    ReplyDelete
  2. naenda nje mada waungwana..... brother misoup tunaomba kwa niaba ya vijogoo wenzako wa anfield mtoe tamko vipi juu ya kichapo hiki cha mmbwa mwizi toka kwa wana imireti, du hii so mzee

    ReplyDelete
  3. Huyo Mike Mushi ni Dogo wa huko Arusha. alivuma sana kipindi cha uchaguzi mwaka juzi. alianzisha biashara ya ku-register domains za watu waliokuwa katika kinyang'anyiro cha kuteuliwa kuwa wagimbea wa uraisa kwa ticket ya SI-SI-EMU. ukweli ni kwamba huyo dogo ni anatumia na mtu mzima ambaye ndio master mind wa mambo yote ambayo hutangazwa baadae kuwa kafanya huyo 'Mike Mushi'. sasa naona ameamua kuufungua mwaka na Mama Migiro. Kaazi kweli kweli... hapo sio, mama migiro sasa ni international Figure, wabongo tuache mzaha nae na kazi yake.

    Mike Mushi, hiyo biashara yako ya Domains sio yenyewe. Rudi shule dogo upate maarifa ya kukusaidia baadae.

    ReplyDelete
  4. HAYA NI MATATIZO NA KWENDA SHULE NUSU/NUSU..... KUNA KITU KINAITWA "BUSINESS ETHICS" THAT ACT AS A NATURE LAW.

    U CANT TAKE MY NAME AND .COM EVEN IF YOU MEAN GOOD... WITHOUT MY APPROVAL!

    AND the so calle MUSHI got the update from UN? here its....

    Update, Jan 9: As suspected, the site is not authorized by Dr. Migiro or the UN. Brendan Varma, a spokesman for the UN, informed me that the UN Legal Department will be sending a “cease-and-desist” notice to the person posting information to the site. An official site for the D-UNSG is being planned.

    ReplyDelete
  5. NDIO YALE YALE WATU KUMWIGA MICHUZI KWA KUFUNGUA BLOGS NA KUJIFANYA KUTOA HABARI.
    MUSHI HUYU HUYU NDIO ALIYECHAPISHA KWENYE BLOG YAKE ZILE C.V. ZA WATU KAMA MNAKUMBUKA?? MSIOJUA MNAJUA ALIZITOA WAPI? SIO WATU WAKE WALIOTOA ZILE C.V. ZA UHAKIKA KUANZIA EDUCATION LEVELS ZA WATU WALE WOTE MPAKA PERSONAL LIFE ZAO, WAKINA JOSEPH KAHAMA, LIUMBA WA BOT,MATARE NYERERE, LEO NYANDUGA, JUNE WARIOBA, RITA KIDOSHO WA MENGI, IRENE MABIBA, PETER RUPIA, MICHAEL KIDA, NA SIFA ZOTE ZA NGONO ZA ANNA KAHAMA.
    HUYU MUSHI AKAJIPATIA UJIKO KUWA YEYE NDIYE ALIYEPOPULAR KWANI ALITOA DATA ZA UHAKIKA. HEE HEE HEEE GUES WHAT.? WADAU--MUSHI ALI-COPY PASTE, FORM MICHUZI BLOG, AKAHAMISHIA KWAKE, WASIOJUA WAKASOMA NA KUSAMBAZA KWA EMAIL KARIBU MJI MZIMA NA NCHI MBALI MBALI WABONGO WALIFORWADIWA ZILE C.V.
    UKWELI NI KWAMBA ZILITOKA KWENYE GOOGLE.COM LAKINI NI KWA MHESHIMIWA MICHUZI, YEYE ALICOPY TU.
    MUSHI MJINGA SANA, TAFUTA UMAARUFU KIVYAKO BABA ACHA KUCOPY HABARI NYETI KUTOKA MICHUZI BLOG, UKAJIFANYA NI WEWE ORIGINAL. AAAH! PUMBAF KABISA. MTU UTAFIKIRI HUJAENDA SHULE?

    ReplyDelete
  6. HUYU HANA UHUSIANO WOWOTE NA DR. MIGIRO, ILA ANAJUA JINA LA MIGIRO LITAKUWA GOOGLED SANA IN THE COMING MONTHS, KWA HIYO KATENGENEZA HIYO SITE ILI APATE MWANYA WA KUTUMIA HILO JINA KWA FAIDA YAKE....KUTANGAZA BIASHARA ZAKE, HASA HIYO YA HOTSCOM TECHNOLOGIES. ANATAFUTA CHEEP PUBLICITY, ILA TU AJUE NI HATARI KUTUMIA JINA LA MTU KWA FAIDA YAKO BILA RUHUSA YA MWENYEWE.

    ReplyDelete
  7. Hivi huyu mama Asha-Rose ni kabila gani? Mngoni?

    ReplyDelete
  8. JAMANI WALE WAZAMIAJI MNAONA SASA?????????? POST ZINAJILETA ZENEYEWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE BILA HATA KUZAMIA. UNAKUWA BONGO THEN UNAFANYA KAZI ZINAZOTAMBULIKA TENA KAZI HALALI HADI UMOJA WA MATAIFA WANAKUFUKUA TOKA NDANI YA BONGO. WAZAMIAJI POLENI SANAAAAAAAAAAA. NAJUA MTAPONDA LAKINI POA TU. MICHUZI WAPEWAPE HAO WAZAMIAJI. MIGIRO HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. Tatizo siyo kusema site ni ya UN, Dogo anatumia logo (nembo) ya UN, atatumiwa sieze and desist soon...ndiyo aone moto wa mtandao....

    ReplyDelete
  10. Mr. Issa Michuzi

    I do not appreciate your stealing my words. The text you use above is exactly my writing from my website, UNSG.org. If you wish to comment about my words or about the fake website, use your own words. This is plagarism and reflects poorly on you. If you wish to cite me, let your readers know that you did not write those words, and tell them honestly who did.

    Tony Fleming
    UNSG.org

    ReplyDelete
  11. Hey huyo anayesema wazamiaje tulie sasa jinga tu. Migiro kapatia PHd yake Germany so go figure. I smell junior college on you

    ReplyDelete
  12. Huyu dogo mnayesema yuko Arusha, ukifuatila sana ile ni zuga tu. Kazi zake zote nimezichunguza na nikagundua kwamba hosting yote pamoja na web-designs zote zinafanyika Marekani. Sa huyo dogo kama yuko Bongo atakuwa yeye labda anachukua tenda tu. Kitu kitu kingine nimegundua pia kwamba baadhi ya site zake ameiba codes kutoka kwa site nyingine. Na ukitaka amini maneno yangu embu fungua search engine ya dogo aliotengeneza na search engine ya extremecorporate. Kwa urahisi nitakupa hap page ambazo waweza enda direct na lingalisha ujionee mwenyewe
    http://www.tanzaniasearch.com/extremesearch.php?search=dodoma&lang=
    http://www.extremecorporate.com/search/extremesearch.php?search=ss&x=2&y=8

    ReplyDelete
  13. Its a shame kwamba wabongo wanaharibu fani kiasi hiki.Mbona kuna watanzania wenye kutengeneza sites original. Wacheki hawa jamaa www.bombadesigns.com

    ReplyDelete
  14. Hii ni biashara nzuri ya kuuza domain name. Unachofanya ni kuwahi jina alafu unauza kwa muusika kwahiyo mimi sishangai.

    Biashara ya domain ni nzuri sana huyu jamaa anaweza kuuza hii domain kwa UN kwa pesa nzuei sana.

    Hayo ndio mambo ya internet wabongo wal msishangae, hii inaitwa "virtual real estate" Ukiwahi kununua unauza kwa pesa nyingi.

    Ila huyo mwenyw hii website sio savvy marketer kwasababu hatumii "proxy" details zake zote zipo kwenye waya.Mcheki kwenye "whois.com

    Kwa wale ambao hawajui "whois" hii ni website ambayo inatoa details ya mmiliki wa domain.


    cheki detail zake kutoka http://whois.domaintools.com/asharosemigiro.com


    Registrant:
    Videos and Games
    243w 125st 10027
    New York, New York 10027
    United States

    Registered through: GoDaddy.com, Inc. (http://www.godaddy.com)
    Domain Name: ASHAROSEMIGIRO.COM
    Created on: 05-Jan-07
    Expires on: 05-Jan-08
    Last Updated on:

    Administrative Contact:
    Mushi, William Whois Privacy and Spam Prevention by DomainTools.com
    Videos and Games
    243w 125st 10027
    New York, New York 10027
    United States
    (212) 280-3302 Fax --

    Technical Contact:
    Mushi, William Whois Privacy and Spam Prevention by DomainTools.com
    Videos and Games
    243w 125st 10027
    New York, New York 10027
    United States
    (212) 280-3302 Fax --

    Domain servers in listed order:
    NS1.DIGITALCAPITALINVESTMENT.COM
    NS2.DIGITALCAPITALINVESTMENT.COM

    ReplyDelete
  15. Michuzi. Hebu tupatie kwa kifupi Dr. Asha Migiro anatokea mkoa gani hasa. Anaonyesha amezaliwa Songea lakini je kwao ni Songea? Baba na Mama yake ni nani? Je, wapo hai na wanaishi wapi. Huyo Prof.Cleophas Migiro ndo tunamsikia sasa mbona haelezwi kwa kina anafundisha Chuo Kikuu gani? Ndiyo maana watu wanaandika vitu juu juu tu. Tunataka tumfahamu vizuri. Sisi ndo Watanzania wenyewe.

    ReplyDelete
  16. I am astonished by the comments aired in this blog by Tony Fleming who claims that 'mzee' Michuzi stole his words. I think this happened because Tony did not attempt to translate the swahili caption below the picture. Michuzi did not say those were his words. ENGLISH IS NOT REACHABLE TO MICHUZI. I know Michuzi, every text borrowed from other sources appear red in his blog. Usitutishe na uzungu wako wewe Tony. Michuzi lete vitu, nakupa ulinzi.

    ReplyDelete
  17. Najibu swali la mdau hapo awali aliyeuliza je ni kabila gani? mngoni? ASHAROSE MTENGETI-MIGIRO ni MPARE wa USANGI, LOMWE. na jina lake ni ASHAROSE MTENGETI, ameongeza la MIGIRO baada ya kuolewa na kuwa mrs.
    HONGERA SANA MAMA.

    ReplyDelete
  18. kweli tafuteni u-popularity kivyenu, sio cheap stup like this mushi person. kazi yake ku-copy habari kwenye blog za watu halafu anapost kwake.
    ni kweli kabisa zilitoka c.v za uhakika kuanzia masomo mpaka maisha binafsi ya watu, wale kina peter rupia, leo nyanduga, rita mengi, irene mabiba, liumba wa bot, michael kida, june warioba, joseph kahama, tia simbei na magai, anna kahama na wanaume aliotoka nao wakati wa ndoa mzungu na mwafrika, e.t.c habari zote ambazo ni za uhakika na sahihi zilitoka google.com lakini kwenye michuzi blog.
    huyu ndugu mushi, akazikopi na kutoa kwenye blog yake, hatimaye kusambazwa kwa barua pepe. nchi mbalimbali, watu wote wakamsifu mushi kwa kupata habari nyeti na za uhakika, hawakujua kazi hakufanya yeye na hakusitahili kupata credit. all credit was due to our respectable journalist "michuzi" maana kama kawaida information zinazotoka kwenye michuzi blog ni za uhakika.
    wewe mushi get a life, tunasikia you are well educated lakini unategemea kuegemea migongoni mwa watu, tafuta habari zako mwenyewe sio kuiba information kutoka kwa michuzi, na ulifanikiwa sana kwenye hili swala la c.v. ulisifiwa sana baada ya watu kufatilia na kusema kweli zilikuwa genuine. what they did not know is: you copied from michuzi blog.

    ReplyDelete
  19. Yeeeeeeeees! kama kawa, mama mzuri na akili kichwani ipo tele. sio kina AMINA CHIFUPA, domo tu kuuuuuuuubwa, lakini kichwani pumba tupu; pia JANET KAHAMA, kutoa hoja bungeni nanukuu mara 3 ametia aibu kwa kutoa hoja pumba tupu, mpaka spika akamwambia akae chini. (na hii sio porojo tu, ni ukweli) mimi niko karibu na familia, siku hizi mzee kahama ndio anamsaidia kuandaa mambo ya kuongea bungeni, ndio kidogo haijambo, siku hizi hatolewi nishai,
    wako wengi wanojifanya wajanja wasomi bandia, kama Fatuma Karume pia ni wakili lakini kwenye kesi mahakamani english nyiiiiiiiiiingi sana, lakini pumba tupu. kesi nyingi anashindwa, wakili jina.
    wakina mama wote mpate mifano ya huyu ASHAROSE MTENGETI-MIGIGO. mungu ambariki, na wanawake wote mfate nyayo zake. kama hamjafanikiwa kichwani haidhuru, ila kama unajijua hivyo, kama niliowataja hapo juu, basi kaa kimya tu, tulia tuli, sio kufungua domo.

    ReplyDelete
  20. Mtoa maoni Leti
    Uliyosema kuhusu huyo Mama Mbunge anvyotoa hoja za pumba bungeni ni kweli tupu.Mimi mwenyewe niliwahi kushuhudia huyo Mama akitoa pumba kwenye mkusanyiko wa Watanzania hapa America ya kaskazini.Aliyoongea anayajua mwenyewe,kwa mfano alishindwa kutofautisha mambo ya public/private na bila kujali facts.Alishindwa kabisa kuelewa wasikilizaji wake ni watu wa namna gani.Nakwambia siku hiyo alijichora ile mbaya!
    Kidumu Chama Cha Mapinduzi

    ReplyDelete
  21. Nashukuru anonymous mtoa maoni wa January 11, 2007,2:40:02pm kwa kunisapoti, kama nilivyowahakikishia wananchi, kuwa ninasema ukweli, na hii blog ya michuzi ni ya heshima na uhakika kwani wanaoingia humu wanatoa habari za uhakika bila ya kuongezea chumvi,
    ila nimeona baadhi ya wananchi hapa wanalalamika Michuzi ha-post maoni yao,
    Naomba nichangie Mheshimiwa Michuzi kama wakuitavyo wengi. Please kuna freedom of speach ulimwengu mzima, kama alivyosema mmoja wao kwenye malalamiko, na ndio maana ya hizi blog hasa inayoheshimika kama yako, wanatoa maoni na habari za uhakika kwanini unazificha? usionee mtu haya wala nini, kwani wala huwezi laumiwa kwani ni wananchi wanaotoa maoni sio wewe. So please, kama hayana lugha za matusi, ni vyema ukiya-post tu kama yalivyo,
    Asante, haya ni maoni yangu tu, samahani kama nimekuudhi, si dhamira yangu kuingilia kazi yako.

    ReplyDelete
  22. WEWE CHORI, UNAYEJIITA :TONY FLEMMING: get a life, usitafute umaarufu hapa, shenzi taipu. MICHUZI HAWEZI HATA SIKU MOJA KUIBA MAONI YAKO, umetumwa na MUSHI nini? maana naye ni chori mkubwa aliyefanikiwa kupata umaarufu hususani kwa wabongo wanaoishi ulaya. kwani zile C.V za uhakika alikopi akaposti kwenye bulogu yake, na watu wengi walifowadiwa kwa email, wakijua orijino zimetoka kwake, wakati, Michuzi ndio wa uhakika, zile c.v zilitoka google.com lakini through MICHUZI BLOG, kwendeni zenu hata mufanyeje, michuzi hamumuwezi. tafuteni umaarufu sehemu nyengine.

    ReplyDelete
  23. Kuongezea kuhusu Prof Migiro ni kwamba yeye ni Professor pale Chemical and Processing Engineering (UDSM). Ila baadae aliondoka na kuwa Director wa cleaner production centre ya Tanzania. Hiki nacho ni kichwa fulani na mtalaamu mzuri wa Mazingira.

    ReplyDelete
  24. HUYU MAMA ANAFANANA NA RITA HAMILTON BOSI WA HAPA KEMPINSKI,
    MICHUZI, JE WANA UNDUGU? BASI POA MAANA FAMILIA YOTE INA AKILI SANA, NA UKOO WOTE NI MA-BEAUTY QUEEN, MAENDELEO KATIKA JAMII YETU.
    HONGERA, ASHAROSE MTENGETI - MIGIRO.

    ReplyDelete
  25. To the anonymous poster astonished at my words, please note that nowhere in the original version of the post was there any reference to UNSG.org, a link or my name as the author. Only those as yourself who are frequent readers and speaker the language would recognize his practice of coding borrowed text in red. The burden is not on my to translate the language. But the burden is on those who borrow the language to acknowledge it in ways that a broad audience recognizes it for what it is. I appreciate Michuzi's adding the appropriate reference in the current version.

    Tony Fleming
    UNSG.org

    ReplyDelete
  26. Tony Fleming,

    Your plagiarism rules do not apply universally. Do not impose your standards especially on us Tanzanians. We operate by our own standards. Who do you think you are exactly coming here tell our beloved Michuzi what to do?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...