wadau ukerewe wapo kibao unaambiwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. kuna mmoja wao hapo ametelekeza familia bongo kwa kuwahi kiwanja.

    ReplyDelete
  2. Huyo msichana namkumbuka alisoma Kibosho girls o level jina la kwanza sina lakini ni somebody Kusaga

    ReplyDelete
  3. Kaka wa kwanza kulia,bongo umekimbia siku nyingi! toka ulivyomaliza masomo yako IFM umezamia ughaibuni nimefurahi kukuona katika blogu ya michuzi leo!sisi tupo bongo tunakamua vichwa!

    ReplyDelete
  4. Jamani wabongo wazuri.Du! sasa mcheki huyu dada alivyo mzuri.Yaani naapa sichukui vibibi vya kizungu kabisa nachukua totoz kama hizi za nyumbani.
    Dada tuwasiliane basi kama upo tayari nitakupa mail yangu

    ReplyDelete
  5. kwa namna hii kweli michuzi inabidi ubehave laa sivyo hutakuwepo kwenye misafara ya mheshimiwa..

    ReplyDelete
  6. Wadau wengi ughaibuni, lakini kwenye mkutano wa kikwete wanaCCM ndio walipewa kipa umbele kama kupewe siti za mbele na kadhalika, hivi Raisi alikuja kuwaona wanCCM au watantania? Je watu wengine wangeingia wamevaa sare za CUF wangeruhusiwa kuingia? Je mkutano wa anaCCm mbona Viongozi hawakuchaguliwa? Nafikiri sisi watanzania hatujawa na Democrasia ya kweli, information nyingi ni za chini chini tu hakuna uwazi. Huyo MR. Maajar nani alimchagua kuwa mwenyekiti wa muda wa CCm. Kisheria hatakiwi kujiingiza kwenye mambo ya chama

    ReplyDelete
  7. Man that's a cute chick.

    ReplyDelete
  8. Kuna Jamaa mmoja wa UK anaitwa Leo yuko wapi yule mchizan?

    ReplyDelete
  9. Michuzi nawe umezidi USHAMBA!!!! Ukerewe maana yake nini?????????

    ReplyDelete
  10. ALLY MWINYIMVUA second left. Man long time man. Remember 2K "mobile class" Tambaza sec? Mashvu hayooo..

    ReplyDelete
  11. damn...that girl is hot & she got a style too....i love that shirt + jeans combination...na wewe Loyd vipi bwana long time sana tangu IFM (tulikuwa wote sasa nipo states) nikija UK nitakutafuta unionyeshe huyo mtoto lakini kama sio wako...anyway cant tell you who is this..too bad!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...