wanablogu wa Afrika waliohudhuria mkutano wa Global Voices Online (http://www.globalvoicesonline.org/global-voices-delhi-summit-december-2006/) jijini New Delhi, India.

toka kulia ni: Daudi Were wa blogu ya Mental Acrobatics toka Kenya, ndesanjo macha wa Jikomboe (Tanzania), Eloi Laban (rafiki wa wanablogu wa Tanzania anaishi India), Egidio Ndabagoye wa blogu ya Pilikapilika Vyuo Vikuu, na Ishta wa blogu ya Inktus toka Uganda (anaishi India).

picha na Boris athony wa http://www.flickr.com/photos/bopuc/325862154/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nimefurahi kuwaona wanablog wengine na hasa Egidio na Macha ambao wamenisaidia mimi katika kuanzisha blog yangu ya picha kama hii

    ReplyDelete
  2. Huyu mnene jamani mbona anafanana sana ya yule rapa anayefanya kazi na Justin Timberland kule USA katika shunguli za muziki au siyo yeye macho yangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...