
wanablogu wa Afrika waliohudhuria mkutano wa Global Voices Online (http://www.globalvoicesonline.org/global-voices-delhi-summit-december-2006/) jijini New Delhi, India.
toka kulia ni: Daudi Were wa blogu ya Mental Acrobatics toka Kenya, ndesanjo macha wa Jikomboe (Tanzania), Eloi Laban (rafiki wa wanablogu wa Tanzania anaishi India), Egidio Ndabagoye wa blogu ya Pilikapilika Vyuo Vikuu, na Ishta wa blogu ya Inktus toka Uganda (anaishi India).
picha na Boris athony wa http://www.flickr.com/photos/bopuc/325862154/


Nimefurahi kuwaona wanablog wengine na hasa Egidio na Macha ambao wamenisaidia mimi katika kuanzisha blog yangu ya picha kama hii
ReplyDeleteHuyu mnene jamani mbona anafanana sana ya yule rapa anayefanya kazi na Justin Timberland kule USA katika shunguli za muziki au siyo yeye macho yangu.
ReplyDelete