niko na washakaji juma pinto na deo balile (kati) wengine ambao nimesahau majina wakila buku ukerewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kaka Masupu wacha kutuzengua bwana huwajui watu umepanda nao pipa toka bongo?? Acha hizo, haya nitakuambia huyo wa kwanza anaitwa Prudence, nadhani yuko TUT pamoja na mwenzake Mbaga mpiga picha wa Televisheni wa TUT, vijana wanakula mzigo hao kama hawana akili nzuri.Kila la kheri huko UK (Ukerewe????)

    ReplyDelete
  2. MH! MICHUZI MSHAMBA JAMANI. LOH! NDIO POZI GANI HILO? LIANGALIE KWANZA,

    ReplyDelete
  3. Michuzi umeficha label!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...