promota maarufu wa soka anayeishi marekani zamunda (shoto) akila stori na rais wa global scouting bureau (gsb) james gamble ambaye ni bosi wa jack pemba. hapa walikuwa neshno kuangalia mechi ya simba na gsb-makongo iliyoshirikisha kina les ferdinand, john barnes na warren burton

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Zamunda baba unataka kufuata nyayo za kajumulo nini?We nenda tulia U.S piga vibarua vyako.Kukimbia kimbia bongo hakutakusaidia sana.

    ReplyDelete
  2. dear michu
    kwa nini kakangu huonyeshi coment zangu? nasikitika sana tena sana kaka. ila nashukuru sana kwa kazi nzuri uifanyayo.

    yaani sijui nikwambieje nilivyofurahi leo kuona kwenye hiyo picha umemweka mamangu jamani, najishukuru sana kwa kuangalia blog yako na nakushukuru kwa kuwepo kwa blog yako.

    yaani nimefurahi kumwona mamangu kwenye blog yako. endeleza kazi yako nzuri.

    ni mimi mdogo wako lenny

    ReplyDelete
  3. Hakuna kitu kama promota wa soka anaeishi marekani,huyo jamaa kwanza aondoe huo uchafu kichwani, pili asiwadanganye huko bongo.

    ReplyDelete
  4. Hawa wanatafuta fedha tu. Kila kitu kuhusu soka lazima kifanywe thru TFF

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...