Home
Unlabelled
zamunda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Zamunda baba unataka kufuata nyayo za kajumulo nini?We nenda tulia U.S piga vibarua vyako.Kukimbia kimbia bongo hakutakusaidia sana.
ReplyDeletedear michu
ReplyDeletekwa nini kakangu huonyeshi coment zangu? nasikitika sana tena sana kaka. ila nashukuru sana kwa kazi nzuri uifanyayo.
yaani sijui nikwambieje nilivyofurahi leo kuona kwenye hiyo picha umemweka mamangu jamani, najishukuru sana kwa kuangalia blog yako na nakushukuru kwa kuwepo kwa blog yako.
yaani nimefurahi kumwona mamangu kwenye blog yako. endeleza kazi yako nzuri.
ni mimi mdogo wako lenny
Hakuna kitu kama promota wa soka anaeishi marekani,huyo jamaa kwanza aondoe huo uchafu kichwani, pili asiwadanganye huko bongo.
ReplyDeleteHawa wanatafuta fedha tu. Kila kitu kuhusu soka lazima kifanywe thru TFF
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete