mbunifu mkongwe wa mitindo asia idarous wa fabak fashions akipungia kadamnasi baada ya shoo yake ya lady in red iliyofana sana movenpik, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hii mwanamke yaelekea hujua kubuni mavazi. Mimi napenda nguo zote naziona wamivaa.

    ReplyDelete
  2. Mbona nguo zao hazina originality au ubunifu??? Mimi nashindwa kuelewa TZ designer wanafikiri nini. NImeangalia Fashion show ya NY city inayoendela sas hivi nguo zote zinakitu unashangaa. Lakini hizi zote ni copy ya nguo zingine.
    Inamaana hata mimi naweza nikaamua kushona nguo nyingi tu halafu nikatafuta mamodel wazionyeshe mtaniita designer.
    Kweli sioni walichokidesign hapo.

    ReplyDelete
  3. anony hapo juu, kuponda ni asili yetu wabongo lkn hatuna lolote masikini sisi, hebu design za kwako tuone huo ubunifu....hivi kwnn tuko hivi,,eeeeehhh..

    ReplyDelete
  4. wewe matako unayeponda! toa zako basi tuzione! she is a strong black lady, she has done over 70 shows, she the first east african designer to be succesful in that field and a good mother! sasa kama wote tungekuwa tunawaiga NY kungekuwa na tofauti gani? u dont need to put a label on a kanga, its ur creativity darling unaangalia tv sana! so next time b4 kufungua hilo domo lako na kutoa pumba...THINK! unakuwa kama hujasoma bwana! mamny thanks to the website owner...michuzi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...