mc joketi mwengelo akimtambulisha kwa kadamnasi ilohudhuria shoo ya mitindo ya lady in red leo usiku hoteli ya movenpik miss tz mstaafu hoyce temu ambaye ndo kwanza amerejea toka ughaibuni ambako ameibua digrii ya pili ya uandishi wa habari na sasa amerejea nyumbani kimoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Mmh digirii ya pilia au u CNA???? ,inabidi tukague vyeti , ila namfagilia sana huyu dem , kwanza bado shape ko bomba ana waka bado , anajaribu kutubadilisha wabongo tuondoe roho za kiuchoyo na kujijali sana, nakumbuka siku ana rudi bongo aliposhuka tuu airport , alienda kulala na watoto yatima na hapa namuoan Kinje naye kaalika watoto yatima, na dhani ni wanaleta mifano mizuri sana

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli huyu dada ninamkubali,karibu nyumbani dada katika kuitumikia nchi yako!!na umependeza sana ila usianzee kujiachia na musupu ya bongo utaharibika sasa hivi

    Agalia na mijababa hapo mimacho inawatoka sana,hongera kwa degree yako ya pili dada wewe mungu akuzidishie na akujalie katika kuchapa kazi hapo home!!

    ReplyDelete
  3. NAMPENDA JOKATE MWENZENU!!!!

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  5. Huyo MC nafikiri mnamwita Jocket hajapendeza mimi sijaupenda mgauni wake ni mkubwa mno. He!

    ReplyDelete
  6. Tafadhali wewe ustaadhi hapo juu, hoyce alilala na watoto yatima? r u serious?

    ReplyDelete
  7. Siku hiyo nilikuwa Airport, kmpokea jamaayangu, ndio nikaona Kina Lundenga na wengin wako hapo na wapiga picha, ndio nikauliza kulikoni, nikaambiwa wamekuja kumpokea Hoyce, naakitoka hapo na kwenda moja k amoja klala kwa watoto yatima, sasa sijui kama alikwenda au vipi , ila ndio ilikuwa ame panga kwenda ku spend a night with them, kama ni publicity stunt ni bora angalau ana fanya mambo kwa jamii ,maana hata hapo kwenye show, alitaka lazima aonekane alikuwepo na karudi maana mama huyu pamoja na Amina chifupa hawana tofauti, pamoja nashoga yake Jokate, maana wote wanapenda magazeti.
    Habari za udaku nikamba anaolewa na bonge la billionere . hongera kama kweli.

    ReplyDelete
  8. Ni vizuri mtu akatambua talent yake iko wapi ili aikuze si kila mzungumzaji anaweza akawa mc au mtangazaji huyu Jokate kwakweli look for another area. Microphone si yako kabisa.

    ReplyDelete
  9. Hana degree ya pili mbona mwaleta usanii?? Watu tunamjua Hoyce bwana we Michuzi kama huna uhakika uliza kabla hujapublisha habari.

    ReplyDelete
  10. Jokate hongera sana mdogo wangu!mi naamini ulistahili kuwa miss TZ,basi tu bongo yetu tumeshaizoea.Hivi bado unaendelea kuimba na kusoma masomo St Peter's?Usibadilike tabia mdogo wangu,yaache hayo mapapa mengine,ndio yamelelewa hivyo!

    ReplyDelete
  11. Degree ya pili??!!!! mhhhh, hata mie hilo nalitilia shaka. huyu bibie anapenda sifa pamoja na kutumia vyombo vya habari kupublish sifa zake za uongo. nani asiyejua kuwa alivyorudi toka Miss World alidanganya watu eti kaingia Top 20 ya Miss world. hivi waungwana tangu lini kukawa na Top 20 katika mashindano haya? Haijawahi kutokea. misifa camp tu!!!

    ReplyDelete
  12. This is cheap publicity. Huyu msichana sijui anataka kugombea ubunge na yeye! Sasa anatafuta mahali pa kujitangaza.
    Kwanza Michuzi wewe ni mwandishi wa habari kwa kutumia picha...sasa kama unaweka maneno pia do your homework kabla ya kuweka story....hiyo degree ya pili mhhhhhh.....??????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...