awilo longomba alipokuja bongo akiwa na mashabiki wake klabu ya bilikanaz. kuume ni promota maarufu wa muziki kongo kayembe tche ntemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. nafagilia kwa sana mwimbaji huyo shukran sana issa kwa kuweka picha yake, fagilia awillo fagilia eeh..

    ReplyDelete
  2. Hivi huyu Abbas Chez Ntemba wana uhusiano na Kayembe Chez ntemba wa Zambia au huyu Abbas anatumia hili jina la Chez Ntemba tu kama nick name, maana tunao kima Msafir Diouf, Lilian internet n.k haya majina ya pili ni ya utani tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...