pati ya khanga a.k.a shindano la kuvaa kibongo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. namuona Gwalugano Ayubu mwenye kofia ya bendera, jamaa sijui yuko wapi sasa hivi maana hata michoro yake siione tena magazetini sasa hivi.........huyu mwenye sandals mbona kavaa kama popo bawa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2008

    Mkuu
    mie nipo duniani bado....
    Huyo jamaa aliyevaa kofia siyo mimi na ni one of the models wa Afrika Sana... Kwanza sijawahi hata kuvaa nanmna ile in public thourh am designer na nimeshiriki fashion shows tofauti....

    rhxoqsa upo wapi ndugu yangu? tembelea www.ganoart.itgo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...