Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Una vituko Kipanya, nafurahi ulivyogeuza hiyo flat screen ya desktop kuwa touchpad. Nimeweka Sumaye nikakutana na 'vitu' sitotaja. waaache na wengine wajaribu.

    ReplyDelete
  2. weee kipanya,tabia gani hiiii .mwacheni sumaye asome jamani heeee.

    ReplyDelete
  3. Yaani amejaliwa na Mungu!

    kipanya ana kipaji sana. imagine angekuwa ulaya, angekuwa angekuwa billionare. But dont worry bro. We are proud of you! Ila pia kipaji chako kiendeleje ili kikuongezee riziki zaidi, usilemaee, kaza msuli.

    Mungu atakusaidia.

    ReplyDelete
  4. Kama alivyoonyesha Kp,tafadhali nenda kwenye Google uone sifa kubwa za Sumaye.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...