Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. kaka hongera sana. we are happy for you.

    ReplyDelete
  2. JK nini tena, majuzi tu ulikuwa Ukerewe, pumzika kidogo mzee upitie mafaili ya ofisini, na ziara za mikoani Singida, Igunga, Babati nk. Wadau wa ukerewe watakuchoka sasa itakuwa kila siku mnaitwa kwenye mikutano ya J.K!

    ReplyDelete
  3. Kinje kaka angu utaweza maisha ya ndoa kweli????? Anyway, God Bless your marriage man

    ReplyDelete
  4. huyu kaka kama kafanana na kinjekitile mwiru, ila sina uhakika'
    mmependeza,kila la kheri na masha ya ndoa.

    Muwe waaminifu jamani, ukimwi sio mchezo.

    halafu muendelee kuijaza dunia plizzz

    ReplyDelete
  5. Sasa hao wanataka kufunga NDOA au wameshafunga ndoa??inakuwa vipi muolewaji tayari ana pete ya ndoa wakati ijahalalishwa??

    ReplyDelete
  6. big up brotha,its abt tym uh? cheers man n all da best!!

    ReplyDelete
  7. Yes, Michuzi kama ulikuwepo kwenye harusi hii tupe picha zaidi. au uko Zanzibar? No nahisi uko Dar. Maana jana walituweka kwenye mafoleni sana hawa jamaa waliohudhuria harusi, maana siku hizi bongo harusi zikifanyika Ubungo Plaza, basi wakubwa woote waendao huko hutufanya tusote kwenye foleni kwa kuwasubiri wamalizie vinywaji vyao.

    kama namuona Mpiling'ondo Kingunge Ngomable Mwilu, akiwa kwenye harusi ya kaka yake Kinjekitile Kingunge Ngombale Mwiru (Victor). hahaha, mzee anayajua majina huyu. Wamatumbi mpooo?

    harusi nyingine trh 17 watatuweka barabarani tena hawa wakubwa, sisi tunakubali kusubiria njiani, wakati wao wanamalizia vinywaji na kuagana.

    Michuzi tupe picha.

    ReplyDelete
  8. huyo jamaa mshamba kutuma picha yake ya harusi kwenye blog mijitu myegine bwana

    ReplyDelete
  9. Huyu kahaba kaoa

    ReplyDelete
  10. UKI APERA TENA BASSI
    Yap kinje.
    Hongera braza.
    Ni kweli mwanadamu hasa mwaume, unaweza ukawa na vurugu sana, lakini inafikia mahali kwambA, unahiti kuHEshimika, maana umechoka NA mambo yote machafu.

    Unaamua kuwa mtu wa familia.

    i hope umefanya mambo yote ya ujana, now you will be a real family man.
    ni uamuazi mzuri, sema uliyoyafanya usiyarudie tena, kwa faida yako na msingi bora wa familia yako.

    Kila la kheri na Mungu awabariki

    ReplyDelete
  11. ENYI MAKAHABA MMEMWONA MWENZENU MUOE SASA,ILA MUNGU AKUBARIKI KWA KUTUONGEZEA WATOTO WA MAMA TOFAUTI
    :UTULIE"

    ReplyDelete
  12. ENYI MAKAHABA MMEMWONA MWENZENU
    :UTULIE"

    ReplyDelete
  13. kumbe kinje ni Victor mwee,nadhani ulitubu dhambi zako zote kwa imani, Mungu wetu wa wawakristu hana kinyongo yote umesamehewa anza maisha upya ndugu yangu,muheshimu sana mkeo mzuri kwa kukubali kuolewa na nyangau kama wewe

    ReplyDelete
  14. huyu Victor ana macho sexy ,hard to resist

    ReplyDelete
  15. Ni pigo kubwa kwa kambi ya Makapela.

    Senior Bachelor Kinje kapata jiko.

    How's Next???.....

    ReplyDelete
  16. Dear Author
    Kwa taarifa bwana Mchuzi ninavyojua wewe ni photo -journalist lakini naona kila siku zinavyoenda unabadilika kitaaluma na kuingia professional zisizo zako....blog hii inataka kuwa sehemu ya ku- promote watu fulani fulani kwa manufaa binafsi basi itangaze iwe private.
    Kinacho endelea hapa ni ku -(PR) WATU WAKO wala siyo kupeana mchaganuo wa mawazo kuhusu nchi yetu..hasa sie watu tuishie ughaibuni maana ndiyo audience kubwa inayoangalia blog hii . Sasa wewe Michuzi unatuwekea picha ohoo mzee kaona..., ohoo Maulidi wa Kitenge ...., leo unaweka hao wasanini wa bongo...nani ana haja ya kuona hao watu, nyie ndiyo bado mna mambo ya kibongo ohoo watoto wa fulani....hao wa BILL GATE watu wapishana nao tu wala hakuna mwenye shughuri nao....leo ije sijuhi kinje...(who is kinje? ) sitaki kukosea lakini mtu mwenyewe shule inaonekane ndoo hivyo basi.. mtu mwenye angalau kielimu fulani cha kati hawezi kuweka card ya harusi kwenye blog hiyo (privet affairs-siyo public hii blog ni ya public tofautisheni vitu).
    Nyie watu shughurikeni na maisha mmeisha kuwa watu wazima siyo mambo ya ubishoo wa zamani ohoo baba yuko Bandarini hizo sasa nafasi tunakuja sisi kuzichukua sisi wenyewe siyo baba ahaa.mimi mwenyewe.Mtu wa pamba/////

    ReplyDelete
  17. Anony 1:10:00AM, Blog ni electronic personel diary, maendeleo ni ya kisayansi, kiuchumi, kiutamaduni na kijamii. Ndoa ni chanzo cha utaifa na ni msingi mkubwa kwa taifa imara, ndoa bora nyingi ni taifa imara. Taarifa za nchi unaweza kuzipata kwenye magazeti. Elimu ya mtu au uwezo wake si kigezo cha kutokea kwenye blog, unachukia kupromote ndoa, wewe ngumbaru tafakari kwanza, unafanya nini huko ulaya?.

    ReplyDelete
  18. He jamani! mbona hata kwenye magazeti ambayo yanaelezea maendeleo ya nchi katika nyanja zote huwa wanatoa taarifa kuwa watu fulani wanataka kuoana sasa ina tofauti gani na card ya harusi kwenye hii blog si ni kitu kimoja. Na baada ya harusi tunaona picha kwenye magazeti. Sijui bongo kama wameacha hiyo kitu sasa hivi lakini huku marekani kila siku kwenye magazeti tunaona hivi vitu. Sijui wewe Anon wa hapo juu mwenzetu upo ughaibuni ya wapi?

    ReplyDelete
  19. Wahenga walisema "Aisifiaye mvua, imemnyea" au "Siri ya mtungi aijuaye kata". Kwa busara hizi nashawishika kuamini kuwa wote mnaosifia ukahaba wa mmoja wa wanandoa hawa bila shaka nao "mlipitiwa" naye. Basi poleni sana kwa kumpoteza kipenzi chenu" Na sasa mkae kimya kwakuwa imetangazwa hadharani kuwa yeye sasa ni mtu wa mtu mmoja tu.Kama si wivu wa kuachwa msingekuwa mnampigia kelele hapa. Hakika alifyagia, wote nyie.Poleeeeni!!!!!!!!kama sivyo, mngejuaje kuwa jamaa ni kahaba? Kwani alikuwa anafanyia barabarani, si alikuwa akifunga mlango na madirisha? Mlijuaje jamani?

    ReplyDelete
  20. kumbe kinje mgala?

    nilikuwa sijui

    ReplyDelete
  21. WATOA MAONI WA 11/02:12:01 NA 5:00AM.
    Poleni sana kama nimewagusa.... ndoa ni muhimu sana kwenye jamii kama inakuwa planned family siyo mambo ya kujaza timu ya taifa ndoa ya hivyo ni athari kwa taifa ..najaribu kukufungua macho kidogo.ok next mie siko against put wonderful marriage photos... mie nashauri kwamba ziweke picha za watanzania majority siyo manority wewe unadhania watu hawaoi bongo mie nimetoka huko juzi kila jmosi ,jpili mnuso ila ndoa za hivyo hapa haziwekwi zinawekwa za wale...... hayo mambo hatutakieither ifanye blog iwe private wala hutasikia malalamiko lakini kama AIM ni attraction of Tanzanian point of view basi iendane na hiyo format yake.Nina kupata taratibu na mpangilio wa vyombo vya habari kwa vipi inatakiwa kufanya kazi kama -Mwana tahaluma.
    MWENZAKO anasema eti ku-promete ndoa nyie watu mnasoma shule za wapi kama enginer usichangie mambo ya journalism kila mtu na fani yake.hii blog siyo ya ku-promote au ku-advert.. hii ni kama photo-journal unaangalia picha unatoa maoni yako watu wasoma .....kuchangia mawazo .actually is very nice ideal but now ...nafikiri dhumuni lake linataka kubadilika hivyo tunatoa ushauri kwa author aangalie upya suala hilo kwa makini... anayeuliza niko wapi nitumie e-mail nitakupa majibu.

    ReplyDelete
  22. Hivi nyie mnaolalamika kuwa michuzi hajaweka picha yenu ya harasi, mlimtumia akaacha kuiweka? Mnaosema kwanini anaweka hii picha huku nyie yanawahusu nini? Hii blog ya michuzi ni private wew unayesoma bila kualikwa shut up. Hapa michuzi anacommunicate na watu wake na anaweka picha za watu wake anaowajua. Kama mnataka anzisheni blog yenu kwani melazimishwa kusoma hii ya MIchuzi? Kama na wewe unabahati ya kusafiri sana piga picha zako ueke. Kwani mnampila michuzi kitu chochote?
    Hata kama uko majuu na unaenda kwenye harusi bongo kila weekend fungua blog yako uieke picha zako.

    Mwacheni michuzi afanye mavitu yake apendavyooooooooooooo

    ReplyDelete
  23. Huyo anayesema bibi harusi anaring kabla ya kuolewa wacha ushamba hiyo ni engagment ring. Ring ya harusi bado inakuja. Hilo rock hapo kwenye kidole thamani yake ni kama ile nyumba yenu.

    Wacheni bongo tu enjoy life. Nyie hamtaki kuona hizi picha kwa vile wivu tu. Visherehe vyenu na viharusi vyenu mnavyofanya huko sisi huku bongo ni kama birthday party. Huku harusi week tunasherekea na honey moon tunakuja huko tunashukia five stars hotel.
    Nyie huko viharusi vyenu masaa mawili kanisani, hall masaa matatu tu ndio mnaweza kuafford kukodisha. Kesho hata hamuwezi kupumzika manake mnakimbilia kazini double shift. Mume na mke hamonani tena mpaka siku ya kulipa rent. Kweli harusi zenu zitajibu kweli?????????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...