Home
Unlabelled
majibu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa inatuhusu nini sisi jamani,,,,??au ulikuwa unaambiwa wewe siyo rijali nini na wanadau??
ReplyDeleteCongratulations Mr. Michuzi,you deserve a lot of credits for a wonderful blog, i just didn't know how popular is your blog until i came to see people like these who doesn't think and believe that they live and exist in this world until they hear from the public, what they say about them, thinks of them and yakkity yak. Imagine if we all had to behave this and decided to show off our colours?
ReplyDeletesasa wewe idd unamaaana gani,wasababu anita anamtoto basi na wewe unataka mashindano,uo ni wivu akuna mashindano apa sasa arusi italipa majibu majibu gani ayo zaidi ya kusema unategemea mtoto,ayo mashindano ni ya kijinga/
ReplyDeleteThis is rediculous!! bring us some sensible issues in here Michuzi!! So what anatuonyesha hiyo pregancy? nosense!!
ReplyDeleteAMA KWELI DUNIA IMEFIKIA UKINGONI!!
ReplyDeleteMPAKA WAUZA UDAGA WAMEANZA KUOA!!!!
Hmmm huyo dada mbona anatutega, ndio nini kuanika chupi na sidiria? kuna raia hawajali tumbo bwana
ReplyDeleteiddi unakumbuka seniors dorm Arusha school usiku nilifikiri umeacha kale kamtindo kumbe bado
ReplyDeleteAAh sasa kuna Harusi au mimba mbona mnatuchanganya..aangalie tu asije kufanya harusi na mimba siyo ya kwake
ReplyDeletebola nawewe upate katoto mzee, maana mimba zako zilizotolewa ni nyingi sana.
ReplyDeleteManeno ni pale siku unakuja kucheki DNA ya mtoto unakuta kumbe ulisaidiwa (Si wako!), au hujawahi kuusikiza mwimbo wa Mume Bwege-Bushoke?... Inshaallah kheri ndugu yangu, mwenyezi Mungu awajaalie kilicho na heri na nyie.
ReplyDeleteThis guy must be very stupid! kuna nati zimelegea kichwani kwake! mtu aliye kamili kichwani hawezi kujianika hapa with that stupid stuff! unamuabisha mkeo wewe kichwa maji!!
ReplyDeleteThere's nothing rediculous about it wee anony wa 9:45:00. Michuzi anatuletea habari kwa picha za aina yote - unayoiona sio sensible kwako ni sensible kwa mwengine.Unaona wivu nini - au wewe tasa?
ReplyDeleteBw. Michuzi, mimi siko Bongo lakini ninaisome Blogu yaki kila siku. Maoni/swali ni:
ReplyDelete80% ya maoni hapo juu yameandikwa na mtu huyo mmoja. Utajauje? Angalia kila comment imefwatiwa na nyengine ya chuki baada ya vidakika vichache tu. Ni dhahiri huyu mtu ameketi kwa kopyuta anajifanya ni watu kadhaa lakini ni yeye pekee anaandika chuki kwa KILA POST unayoweka kuhusu wadau fulani.
This Bongo jealusy will not take us anywhere. Tuwe na constructive cristicism au tukake kimya kama hatuna jema la kusema bwana!!
Mbona huyu mwanamama ana ndondo kibao mkononi? Kama suala la Laser haliwezi gharama yake, Kwani suala zima la Gillete hakuna huko bongo? Hii ni big soo
ReplyDeletei agree that, sometimes michuzi has been crossing his own editorial boundaries.what to say, how and when....sort of things.
ReplyDeletelakini katika swala hili la Idd Janguo, mimi sioni ubaya kwake na mkewe kama couple kuweka picha yao hapa wakiwa na matarajio ya mtoto.
Idd ni celebrity kwa Tanzania, watu watake wasitake.Hawa ndiyo ground-shakers if you like.
Isipokuwa nina reservation kuhusu jinsi Michuzi alivyoitambulisha hiyo couple chini ya picha, imetoa nafasi kwa watu kuitafsiri vibaya.
kubwa jinga,na wote mnaomtetea tumbafu zenu.
ReplyDeleteMichuzi, It is time to take control of your blog, otherwise Tanzanians all over the World won't send you pic of themselves as well as their family members.
ReplyDeleteNi lazima uanze kupitia maoni yote yanayotumwa kabla ya kuyaweka hadharani ili kuhakikisha maoni yasiyokuwa na kichwa wala miguu hayapewi nafasi pia matusi hapa si pahala pake. Hakuna ubaya wowote Idd au Mtanzania yeyote kutuma picha yake hapa.
Ukiwaachia wapumbavu waandike upumbavu wao basi tutakuwa tunakukimbia tukikuona na camera yako, maana hakuna mtu anayetaka kudhalilishwa kwenye kadamnasi hata kwa siri.
Si ajabu akatokea mtu akasema alikuwa anamla uroda mke wa Idd na hivyo hiyo mimba ni yake. Again, take control or close this blog for good. We are tired of reading negative comments from uncivilised people.
Simama Dede.
Nilisikia Iddi kaoa mzungu. Ama huyu ni mke wa pili?
ReplyDeleteNa anabahati sana au hela yake inamruhusu kuchagua kwasababu height yake na kupata mwanamke mfupi kuliko yeye ni bahati sana
Congratulation ma man
Iddi safi sana sasa WAZARAMO wa MSANGA umetutoa tongo tongo na umethibitishia watu kuwa AL ZARABIBYU FIL BATUTA hatutki mchezo kwani Rangi za vijukuu vya mtume twazipenda na hii inatupunguzia gharama za mikorogo wake zetu ili hali mindhali huyo bibie ananywele za kiarabu then hata kule saluni gharama nazo si nyingi
ReplyDeleteAnyway nakutakia kila la kheri na vipi je ni KIDUME?
Mlete basi London ajifungulie huk kuhusus karatasi usipate tabu
Kwa hiyo huyu mmanga koko we michuzi ndio ulituambiaga muarabu!!! Jamani waarabu je??? Beside is a shame been muarbu!!!
ReplyDeleteANONYMOUS february 10,2007 7:43:00pm
ReplyDeleteSamahani mheshimiwa siwezi kuelewa una maanisha nini unaposema kwamba hawa ndiyo ground-shakers wa Tanzania?????????????hilo neno unalielewa maana yake lakini? au na wewe ndo wale wale wapambe.mimi uncle yangu alikuwa mtu mwenye wadhifa mkubwa tangu enzi za uhuru ni watu walio msaidia mwalimu toka kanda ya ziwa(jina nalihifadhi siyo advert lakin wengi wanaweza kuotea) na wametoa mchango mkubwa kwa nchi wakati hao wakina janguo wala hawajulikani wako wapi .watoto wake na sie ndugu zake ni watu wa kawaida tu kila mtu kajilipua vyake,wewwe angalia ukoo wa mwalimu JK ambaye anatambulika duniani kama "wise man of Africa'family imetulia kimya wanaendelea na shughuri zao za maisha. Sasa leo hii unawaita watu wa kuja juzi eti ni ground-shakers.....kwa kipi walicho nacho cha kutisha ..isipokuwa wababaikaji kama wewe ,mie huyu kinje alikuwa best wa mshikaji wangu na tulikuwa tunakutana sana wakati nipo bongo na alikuwa kijana wa kawaida tu sasa leo nasikia ground-shaker makubwa haya.
wewe msipende kujisemasha maneno ambayo unayafahamu kwa juju... hii blog inaangaliwa na watu vichwa siyo kubabaisha babaisha tu
Mwanaume unabetua midomo!
ReplyDeleteHAWA NI PRIVATE PEOPLE, KWANINI WAKO HAPA? WHAT IS THE ISSUE? ETI GROUND SHAKERS, WAMEFANYA NINI? NADHANI HII PICHA NI MAMBO BINAFSI, AND, DO WE REALLY CARE ABOUT PRIVATE LIFE? WE DONT REALLY CARE ABOUT WHAT KINA-JANGUO DO!! WHY SHOULD WE? KWELI WABONGO BADO SANA!
ReplyDeleteANON WA Saturday, February 10, 2007 6:22:00 PM ACHA UJINGA: ETI ZIMEFUATANA VIDAKIKA VICHACHE!!!!!. DUNIA PANA HII KAKA, ZINAWEZA KUANDIKWA ZOTE, HATA MILLION MOJA KWA WAKATI MMOJA, SIO LAZIMA AWE MTU MMOJA! MICHUZI, KWELI BLOG YAKO HII INASOMESHA WENGI.
ReplyDeleteMHH KWA HAPO SIJUI LABDA AENDE KWENYE DNA TEST!!!!!!!!!!
ReplyDeletewewe Anony wa Sunday, February 11, 2007 2:08:00 AM, sasa kama Kinje alikuwa mshkaji wako inahusiana vipi na umaarufu aliojijengea Bongo wakati wewe haupo??? Acha wivu chagua moja kama unazamia state usiwe na roho ya kwanini uliowaacha wakianza kuwini Bongo. Kuna watu kibao kama wewe ambao sasa hivi wanasema oooh kama Kikwete kawa Rais basi hata mimi naweza kuwa rais, eti kwa sababu tu walikuwa wanampita kwenye test za Maths enzi hizo!!
ReplyDeleteHonger Iddi, ila na wewe unaonekana kama mjamzito vile? Mazoezi babu. Yaani wote wawili ngoma imetiki?
ReplyDeleteNdondo hizo mkononi..mambo ya laser jamani au kiwembe.. Ila wamanga nuksi wanasaidia kama hawana akili nzuri. Fata maoni ya Saa Sunday, February 11, 2007 11:20:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDelete"mdau Iddi Janguo kaniamuru niwataarifu,..." kwa maana hiyo kila mwenye maoni yake atayatoa hapa, wataosifia na wataokandia yote ni maoni. Nyie mnaoumizwa na hayo maoni mimi sielewi mnaumizwa kwa lipi. Kuna wanaodai jamaa ndio Groundshaker Bongo zama hizi, poa tu...enzi zetu walotikisa jiji mfano ni jamaa wa Mbowe, Freeman na mdogo wake Charles, kina Abdul Msomali nk... Jiji zima linapata habari yao, au sio Mh. Michuzi? ...kama jamaa sasa hivi ndio anaibukia poa tu, ila hana haja ya kujipa cheap publicity kama hii au kuimbwa na Twanga pepeta! Anyway, Big Up lil Bruv, inshaallah mjaaliwe chema.
ReplyDeleteHongereni!!! Nani anatangualia kujifungua kati yenu. Mimba zimewapenda naona mipua hiyo......
ReplyDeleteCongratulation.
ReplyDeleteWatch this space siku mtoto atazaliwa
ReplyDelete