Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KP
ReplyDeleteBig Up man, sanaa unayoifanya inatuelezea hali halisi ya Bongo yetu. Kama unavyosema , hiyo ni sinema tu, wapi PCB, Wapi report kamili ya wanaoshukiwa kuwa wauza unga, wapi wala rushwa wakubwa wakubwa yaani Grand Corruptioners
Aaaaa, ndo maana nchi ina resources lakini haiendelei. Ikitokea miujiza leo wabongo wote wawe New York, Beijing, Paris na wazungu wawe Bongo, utashangaa Bongo inakuwa New York au PARIS na Parisi itageuka kuwa Manzese. Najua kuna watu wataponda ila ukweli ndo huo, rushwa inaua nchi kaka.
Naomba kutoa hoja
Asante