kuna wadau wameomba waone twin tawa tokea baharini. jengo la kuume la mduara ni bonge moja la ukumbi wa mikutano ambapo nyeti zinadatisha kwamba huenda majengo hayo yakafunguliwa milango hivi karibuni (sherehe rasmi za ufunguzi zilishafanyika mwishoni mwa lasti yia) kwani nasikia kuna mkutano wa magavana wote afrika wataoubikiri mwezi ujao ama mwanzoni mwa aprili katika mkutano wao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...