mtaa wa dosi, migo migo leo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. kwa nini watu wanalipa hiyo 300 ??? si watulie majumbani mwao kuona hiyo mechi !... nifafanulie michuzi bana .

    ReplyDelete
  2. Eeh bwana Michuzi hebu tupe picha ya Shibamu Hotel hapo mtaa wa Dosi. Pale Dexule pia hebu tupe picha mabaharia wa migomigo tupo.

    ReplyDelete
  3. nahisi huyu mama amefuata hela ya unga kwa mmewe huyo mchoma mahindi, inaonekana jamaa anasema 'subiri niuze hili basi'

    ReplyDelete
  4. THIS IS ILLEGAL BUSINESS..

    ReplyDelete
  5. sio kila mtu ana TV bongo jamani wengine mko ughaibuni mkirudi Bongo sehemu hizi zinawatoa kwani hata nyie kule bongo hamna TV acheni kashfa wakimbizi nyie, pengine hata wewe ungekuwa bongo ungekuwa mganga wa kienyeji nini kuchoma mahindi

    ReplyDelete
  6. Watu wanalipa na kwenda hapo kwa sababu ya company. Unajua mpira bila ya kuwa na company haunogi. Lazima mbishane kwa sana wakati mpira ukiendelea. Si kwamba hawana uwezo wa kuiona mechi nyumbani kwao. Channels nyingi bongo zina-ruhusa ya kurusha Premier and UEFA Cups.

    Tofauti na ughaibuni, kubishana na kuelezea kinachoendelea wakati wa mechi ndo utamu wa mpira hapa bongo. Bar nyingi ukiingia Dar, Moro, Arusha utakuta watu wanabishana kwa sauti ya juu kabisa. Hii ndo TZ, na huo ndo U-TZ. Tunajivunia kuwa wamoja kwa kila kitu.

    Ukikaa nyumbani hupati mavituz ya aina hii.

    ReplyDelete
  7. Michuzi na wadau wa Marekani tuambieni, Hivi ni kweli Ray C ni 'item' na Ice cube? Au ni biashara?

    ReplyDelete
  8. Man Utd-3 (heinze,saha,solskjaer)
    Reading-2 (kitson,lita)

    Michuzi hiki sio kikosi cha J'mos...

    ReplyDelete
  9. Jumamosi wale wa Anfield wajiandae kulia tu ni dozi nene kwenda mbele, yale madhahama yaliyowafika Tottenham yatawakumba Liverpool

    ReplyDelete
  10. Sidhani kuwa ni kukosa TV kwasababu hata nchi hizi zilizoendelea kuna mechi zinakua pay per view na uki order ukaangalia mwenyewe haipendezi kwa hiyo watu wanaenda kwenye bar ambazo wanaweka...utaangalia bure lakini ukitoka hapo umekula buffalo wings na bia zaidi ya ile payper view ya nyumbani ...lakini still ume enjoy. Kwa hiyo nahisi cha muhimu ni company ila pia ukumbuke hata USA sio wote wenye cable, direct tv etc watu wengi wanaweka basic service tu. Ambayo inakupa channel za local news na learning channels kwa hiyo sio ajabu kuona watu wanaenda huko kuangalia na huyo aliyeuliza swali kama anaishi nje ya nchi asijifanye kushangaa umbeya tu ...hii ipo all over the world.

    ReplyDelete
  11. Ni kweli anon March 1: 1:35 comments zako kuhusu majuu. Tumeona pia. Lakini, tofauti na majuu, hapa bongo mkiwa mnaangalia mpira kwenye TV kila mtu anakuwa ndugu yako na unaweza kum-tease au kujoke bila wasi wasi. Wakati mwingine kurushiana maneno makali sana. Siyo ugomvi, bali ni shemu ya raha mpira! Mpira ukiisha wote mnakuwa marafiki na unaweza kuwa umeongeza idadi ya marafiki duniani!

    Ulaya/US ipo hii??! Haiwezekani, na ukipiga kelele wanaweza kukupiga marufuku kwenye hiyo pub yako! Pia utaonekana chizi, maana utakuwa peke yako!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...