Home
Unlabelled
ice
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu yuko simple tu lakini anaoneka msafi mwenyewe al least kavaa tu T Shirt yake na chain, meno masafi, nywele kakata vizuri tu, kucha zake safi na mwenyewe sio mbaya. Alhamdullilah unaweza hata ukamuonesha mwenyeji huku ughaibuni huyu muimbaji nnchini kwetu, sio wale eti mastaa SAUTI YA MANKA walitokea kwenye picha kama wezi kizimbani!
ReplyDeleteHuyu yuko simple tu lakini anaoneka msafi mwenyewe al least kavaa tu T Shirt yake na chain, meno masafi, nywele kakata vizuri tu, kucha zake safi na mwenyewe sio mbaya. Alhamdullilah unaweza hata ukamuonesha mwenyeji huku ughaibuni huyu muimbaji nnchini kwetu, sio wale eti mastaa SAUTI YA MANKA walitokea kwenye picha kama wezi kizimbani!
ReplyDeleteWawaaaaa!! mshkaji umetoka bomba sana,bongo kutamu sanaa..mnafanya makamuzi ya kiutu uzima...keep it up mazeee....
ReplyDeleteHuyu jamaa ni Mbongo au Mganda????
ReplyDeletewho cares kama ni mbongo au mganda.
ReplyDeleteMad Ice ni mbongo aliyesoma Uganda. He speaks Luganda and Swahili fluently!!!
ReplyDeleteHuyu jamaa ni Mganda, sema tu wazazi wake wanaishi bongo nafikiri. Pia amefanya kazi zake nyingi Bongo, nakumbuka pia aliungana na wasanii wa Uganda to form a Ugandan group. Kuna wakati watu walikuwa hawajui ametoka wapi lakini ni PURE UGANDAN!
ReplyDelete