msanii mad ice akitumbuiza kwenye shoo ya mavazi ya lady in red usiku wa leo hoteli ya movenpik

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyu yuko simple tu lakini anaoneka msafi mwenyewe al least kavaa tu T Shirt yake na chain, meno masafi, nywele kakata vizuri tu, kucha zake safi na mwenyewe sio mbaya. Alhamdullilah unaweza hata ukamuonesha mwenyeji huku ughaibuni huyu muimbaji nnchini kwetu, sio wale eti mastaa SAUTI YA MANKA walitokea kwenye picha kama wezi kizimbani!

    ReplyDelete
  2. Huyu yuko simple tu lakini anaoneka msafi mwenyewe al least kavaa tu T Shirt yake na chain, meno masafi, nywele kakata vizuri tu, kucha zake safi na mwenyewe sio mbaya. Alhamdullilah unaweza hata ukamuonesha mwenyeji huku ughaibuni huyu muimbaji nnchini kwetu, sio wale eti mastaa SAUTI YA MANKA walitokea kwenye picha kama wezi kizimbani!

    ReplyDelete
  3. Wawaaaaa!! mshkaji umetoka bomba sana,bongo kutamu sanaa..mnafanya makamuzi ya kiutu uzima...keep it up mazeee....

    ReplyDelete
  4. Huyu jamaa ni Mbongo au Mganda????

    ReplyDelete
  5. who cares kama ni mbongo au mganda.

    ReplyDelete
  6. Mad Ice ni mbongo aliyesoma Uganda. He speaks Luganda and Swahili fluently!!!

    ReplyDelete
  7. Huyu jamaa ni Mganda, sema tu wazazi wake wanaishi bongo nafikiri. Pia amefanya kazi zake nyingi Bongo, nakumbuka pia aliungana na wasanii wa Uganda to form a Ugandan group. Kuna wakati watu walikuwa hawajui ametoka wapi lakini ni PURE UGANDAN!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...