jk akiagwa na waziri john pombe magufuli aliekuwa mmoja wa viongozi waliokuwepo kumtakia safari njema wakati anaondoka nchini kwa ziara ya nchi za ulaya na skandinavia leo usiku.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ha ha ha ha

    Michuzi mjanja sana wewe, umeanza na ya waziri mkuu kumwakilisha JK, then ukaafuata ya JK akiagwa. Subiri madongo ya wadau uataona.

    Na wewe uko kwenye msafara wa JK nini maana we naye upo umo kaka

    Ni hayo tu

    ReplyDelete
  2. Below the geographical belt; nchi za ulaya na skandinavia!

    ReplyDelete
  3. why should all those ministers make their way to the airport just to shake hands and say goodbye to the president?

    i think they better use the resources paid for by taxpayers to propel the economy of our country with the number of trips this chap makes abroad, i bet the bill runs into hundreds of millions.

    i'm not against the president clocking airmiles, but i think it's just ridiculous to see his cabinet members at the airport, when he departs and upon his return {arrival}, they'll be there to sing the songs of praise.noma sana ndugu zangu wabongo.......!!!

    ReplyDelete
  4. sasa uncle misupu mbona sielewi ! taarifa toka ikulu ilisema kwamba magudfuli angerudi tz jumatatu akitokea ujerumani alipokuwa akitibiwa baada ya watu kusema kwamba amekufa ! sasa je bado yupo ujerumani kama ikulu na ubalozi wa tz ujerumani ulivyosema au ??

    ReplyDelete
  5. jk huyooooo!!!anawachia vumbi wabongo mtakoma kuringa nadhani ikulu pako bored sana,big to our prez!!!keep it up.

    ReplyDelete
  6. Hehehehee huyo tenaaa!!!! hivi huyu kikwete hana haya eee?? yaani utadhani alizaliwa njiani ee?!. hivi kwani hana muwakilishi eeh. this is too much now. na hao wapumbavu wenzie wanaenda kumuaga eti sijui wakojeee!!!!

    ReplyDelete
  7. His Secretary of state Bongo,tuangalie nani Rais wetu Tanzania

    ReplyDelete
  8. this is ridiculous, ina maana kwa wiki hao mawaziri waende airport mara ngapi kumpokea na kumuaga raisi, mimi siku zote namfagilia huyu Jk lakini sasa huu ni upumbavu, ni yeye au watu wa protocol ndio wanaokuja na huo utaratibu? vyovyote vile ni upumbavu, waste of money(taxpayers) time, energy, kwa jinsi raisi anavyosafiri kwa mwezi, gharama kiasi gani inatumika na kama vile haitoshi ufala kama huo, ni kupenda kutukuzwa au nini hasa??!! what a shame!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...