hapo ni juu ya vilima vya kigoma, mwisho wa reli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyo cameraman utadhania DIBO aliya-act ktk Friday. Movie ya Ice Cube na Chris Tucker...

    ReplyDelete
  2. UNANIKUMBUSHA MIGEBUKA KWA UGALI WA ROWE

    ReplyDelete
  3. would that be lake tanganyika!
    mama tanzania, its beautiful

    ReplyDelete
  4. mambo ya Mwisho wa reli si mchezo.wamanyeeeeema bwana mahaba wamejaaliwa.Wakipenda hawana utani.

    ReplyDelete
  5. Tanzania tanzaia nakupenda kwa moyo wote nchi yetu tz jina lako ni tamu sana........nilalapo...

    What a beautiful country, simple and nice people, sexy men ka huyo camera man nimemind jamani.

    ReplyDelete
  6. Halafu mandhari ya ziwa wakati wa usiku...hiyo mitumbwi na karabai za wavuvi wa dagaa na migebuka...utadhani ni gari la mooshi lenye taa gizani!

    ReplyDelete
  7. Michuzi unanikumbusha viwanja vya nyumbani kaka. Hapo ni kwenye vilima vya MJI MWEMA, kwenye hivyo vichaka kuna swala kibao. We used kuwinda swala na mbwa for years and we never got any (ofkoz nilikuwa shule ya msingi Kiezya enzi hizo).

    I love the pic kaka, love it. If u have more Kigoma pics, would appreciate if u will post em in here.

    Natanguliza Shukrani
    Kakiyo
    Anonymous

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...