Home
Unlabelled
kigoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo cameraman utadhania DIBO aliya-act ktk Friday. Movie ya Ice Cube na Chris Tucker...
ReplyDeleteUNANIKUMBUSHA MIGEBUKA KWA UGALI WA ROWE
ReplyDeletewould that be lake tanganyika!
ReplyDeletemama tanzania, its beautiful
mambo ya Mwisho wa reli si mchezo.wamanyeeeeema bwana mahaba wamejaaliwa.Wakipenda hawana utani.
ReplyDeleteTanzania tanzaia nakupenda kwa moyo wote nchi yetu tz jina lako ni tamu sana........nilalapo...
ReplyDeleteWhat a beautiful country, simple and nice people, sexy men ka huyo camera man nimemind jamani.
Halafu mandhari ya ziwa wakati wa usiku...hiyo mitumbwi na karabai za wavuvi wa dagaa na migebuka...utadhani ni gari la mooshi lenye taa gizani!
ReplyDeleteMichuzi unanikumbusha viwanja vya nyumbani kaka. Hapo ni kwenye vilima vya MJI MWEMA, kwenye hivyo vichaka kuna swala kibao. We used kuwinda swala na mbwa for years and we never got any (ofkoz nilikuwa shule ya msingi Kiezya enzi hizo).
ReplyDeleteI love the pic kaka, love it. If u have more Kigoma pics, would appreciate if u will post em in here.
Natanguliza Shukrani
Kakiyo
Anonymous